Jonathan Sowah Katika Ligi Kuu ya NBC 2024/25 | Mshambulizi wa kimataifa wa Ghana Jonathan Sowah ameendelea kung’ara katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/25. Akiwa mmoja wa wachezaji muhimu kwenye safu ya ushambuliaji, Sowah amefanikiwa kufunga mabao sita katika michezo sita aliyocheza hadi sasa. Huu ni ushahidi wa kiwango bora anachoonyesha kwenye ligi, […]
Dube Ang’ara na Yanga Msimu Wake wa Kwanza | Mshambuliaji wa Yanga SC, Prince Dube, ameonyesha kiwango bora katika msimu wake wa kwanza kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League), akiwa miongoni mwa wachezaji wenye mchango mkubwa kwa timu yake. Takwimu za Prince Dube Msimu wa 2024/2025 Mechi: 19 Magoli: 10 Assist: 7 Jumla […]
Ratiba ya Hatua ya16 Bora Europa League 2024-2025 | Droo ya 16 Bora ya Ligi ya Europa 24/25: Manchester United kumenyana na Real Sociedad. Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) leo Februari 21, 2025, limetoa droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Europa, ambapo vilabu vikubwa barani Ulaya vimepangiwa wapinzani wao. Manchester United […]
Uwanja wa Amahoro wa Rwanda Watajwa Kwenye Tuzo za Viwanja Bora Duniani 2024 | Uwanja wa Amahoro wa Rwanda umejumuishwa katika orodha fupi ya viwanja 23 vinavyoshindania Tuzo za Uwanja wa Dunia wa 2024. Uwanja huo uliokamilika mwaka jana baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa, umekuwa miongoni mwa vifaa vya kisasa vinavyokidhi viwango vya Bodi ya […]
‘Mzizima Derby’ Kati ya Mchezo wa Simba na Azam Wahamishiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imetangaza mabadiliko ya uwanja na muda wa mechi ya ‘Mzizima Derby’ kati ya Simba SC na Azam FC itakayochezwa Jumatatu Februari 24, 2025. Mchezo wa Simba na Azam Wahamishiwa Uwanja wa Benjamin Mkapa […]
TPLB Yafuta Kadi Nyekundu ya Derick Mukombozi | Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imefuta rasmi kadi nyekundu aliyoonyeshwa mchezaji wa Namungo FC, Derick Mukombozi katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Namungo dhidi ya Simba SC. TPLB Yafuta Kadi Nyekundu ya Derick Mukombozi Kwa mujibu wa taarifa […]
Young Africans SC Yapewa Onyo Kali na TPLB kwa Ukiukaji wa Kanuni | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB) imetoa onyo kali kwa Young Africans SC kufuatia kitendo cha viongozi wake kuingia uwanjani baada ya mechi yao dhidi ya Singida Black Stars. Young Africans SC Yapewa Onyo Kali na TPLB kwa Ukiukaji wa Kanuni […]
Yanga SC Yailaza Mashujaa FC 5-0, Chama Aibuka Shujaa | Yanga SC inaendelea kuongoza Ligi Kuu Yanga SC imeendelea kudhihirisha ubabe katika Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Mashujaa FC kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. Katika mchezo huo, kiungo mahiri Clatous Chama aling’ara kwa kufunga mabao […]
Wasanii wanaowania Tuzo za Trace Awards 2025 | Wateule wa toleo la 2025 la Tuzo za Trace walitangazwa kabla ya hafla ya utoaji tuzo huko Zanzibar, tarehe 26 Februari. Tuzo za Trace zinaangazia utajiri na ubora wa muziki wa Afro kupitia aina kama vile Afrobeat, dancehall, hip-hop, Afropop, mbalax, amapiano, zouk, kizomba, genge, coupé-décalé, bongo […]
Ratiba ya Ligi Kuu NBC Tanzania Bara 2025 | Ligi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara inazidi kupamba moto huku mechi za Raundi ya 21 zikitarajiwa kupigwa kati ya tarehe 21-24 Februari 2025. Mashabiki wa soka nchini watashuhudia vita vikali kati ya timu kadhaa zinazoendelea kuchuana kuwania nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi […]