ujuzitz
ujuzitz's Latest Posts
Ratiba ya Yanga Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025
Ratiba ya Yanga Klabu Bingwa Afrika CAF 2024/2025 | Ratiba ya Yanga Hatua ya Makundi CAF 2024/25 Hatimaye, michuano ya Klabu Bingwa Afrika CAF imeanza tena rasmi! Wakati huu, timu zimeingia kwenye hatua ya makundi ambapo vilabu vitapambana kuwania nafasi mbili za juu kwa kila kundi, nafasi ambazo zitahakikisha kufuzu kwa hatua ya mtoano. Kwa […]
Ratiba ya Simba Makundi Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025
Ratiba ya Simba Makundi Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025 Hatimaye, michuano ya Kombe la Shirikisho CAF imeanza tena rasmi, na hatua ya makundi imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wa soka barani Afrika. Katika hatua hii, vilabu vinashindana kwa nguvu kuhakikisha vinajiweka kwenye nafasi mbili za juu katika kundi lao ili kufuzu hatua ya mtoano. Safari […]
Msimamo Kundi la Simba Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2024/2025
Msimamo Kundi la Simba Kombe la Shirikisho Afrika CAF 2024/2025 Nafasi Timu MP W D L GF GA GD Pts 1 CS Constantine 1 1 0 0 1 0 1 3 2 Simba 1 1 0 0 1 0 1 3 3 Bravos do Maquis 1 0 0 1 0 1 -1 0 4 CS […]
Simba Yafungua Hatua ya Makundi kwa Ushindi dhidi ya Bravos
Simba Yafungua Hatua ya Makundi kwa Ushindi dhidi ya Bravos Simba SC imeendelea kung’ara katika mashindano ya kimataifa baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya FC Bravos do Maquis kutoka Angola, kwenye mechi ya kwanza ya Kundi A ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mchezo huo ulifanyika Novemba 27, 2024, katika Uwanja wa […]
Bao la Msuva Laipeleka Taifa Stars Morocco
Bao la Msuva Laipeleka Taifa Stars Morocco! BAO la dakika ya 60 lililofungwa na winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, limeipa Taifa Stars tiketi ya kushiriki fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika mwakani nchini Morocco. Katika mchezo uliovutia mashabiki wengi Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Msuva alitumia fursa ya krosi murua […]
Job Afichua Mikakati Iliyotumika Kumzuia Guirassy
Job Afichua Mikakati Iliyotumika Kumzuia Guirassy Haikuwa kazi rahisi kwa safu ya ulinzi ya Taifa Stars, iliyoongozwa na mabeki wenye uwezo wa hali ya juu Dickson Job na Ibrahim Bacca, kumdhibiti mshambuliaji wa Guinea na klabu ya Borussia Dortmund, Serhou Guirassy. Mshambuliaji huyu, anayejulikana kwa uwezo wake wa hali ya juu wa kufunga mabao, aliingia […]
Hizi Apa Timu Zilizofuzu AFCON 2025
Hizi Apa Timu Zilizofuzu AFCON 2025 Baada ya mitanange ya kukatana shoka baina ya timu za mpira wa miguu za mataifa mbalimbali barani Afrika katika hatua ya makundi ya kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025, hatimaye orodha kamili ya timu 24 zilizojihakikishia nafasi imekamilika. Michuano hii mikubwa inatarajiwa kufanyika nchini Morocco, […]
Hizi Apa Jezi Mpya Za Simba Sc Kwa Ajili ya Mechi za CAF 2024/2025
Hizi Apa Jezi Mpya Za Simba Sc Kwa Ajili ya Mechi za CAF 2024/2025 Wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Simba SC, leo wamezindua rasmi jezi zao mpya ambazo zitatumika katika safari yao ya kupambania ubingwa wa bara la Afrika. Uzinduzi huu unakuja wakati timu hiyo ikiwa imepania kufanikisha malengo […]
Yanga Yazindua Rasmi Jezi Mpya za CAF 2024/2025
Yanga Yazindua Rasmi Jezi Mpya za CAF 2024/2025 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga SC, wametambulisha rasmi jezi zao mpya za msimu wa 2024/2025. Jezi hizi mpya zitatumika katika hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League), […]
Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs Al Hilal 26.11.2024
Vituo vya Kununua Tiketi Mechi ya Yanga vs Al Hilal 26.11.2024 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara na wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga SC, wametoa mkeka rasmi wenye orodha kamili ya vituo vilivyothibitishwa kwa ajili ya uuzaji wa tiketi kwa ajili ya mechi yao ya kwanza ya hatua ya […]