Manchester United Yafuzu Hatua ya 16 Bora Europa League
Manchester United Yafuzu Hatua ya 16 Bora Europa League Baada ya Kuichapa FCSB 2-0 | Klabu ya Manchester United imefuzu kwa hatua ya 16 bora ya UEFA Europa League baada ya kupata ushindi wa 2-0 dhidi ya FCSB kwenye mchezo uliopigwa Arena Nationala, Bucharest โ Romania.
Bao la kwanza la United lilifungwa na Diogo Dalot dakika ya 60, kabla ya Kobbie Mainoo kufunga la pili dakika ya 68, na hivyo kuhakikisha ushindi wa mabao mawili kwa sifuri.
Manchester United Yafuzu Hatua ya 16 Bora Europa League
FCSB ๐ท๐ด 0-2 ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Man Utd
โฝ 60โ Dalot
โฝ 68โ Mainoo
MATOKEO MENGINE
๐ณ๐ฑ Ajax 2-1 Galatasaray ๐น๐ท
๐ง๐ช Anderlecht 3-4 Hoffenheim ๐ฉ๐ช
๐ช๐ธ Athletic 3-1 Plzeล ๐จ๐ฟ
๐บ๐ฆ Dynamo Kyiv 1-0 RFS ๐ฑ๐ป
๐ญ๐บ Ferencvรกros 4โ2 AZ Alkmaar ๐ณ๐ฑ
๐ฎ๐ฑ Maccabi TA 0-1 Porto ๐ต๐น
๐ฉ๐ฐ Midjtylland 2-2 Fenerbahรงe ๐น๐ท
๐ซ๐ท Nice 1-1 Bodรธ/Glimt ๐ณ๐ด
๐ฌ๐ท Olympiakos 3-0 Qarabaฤ ๐ฆ๐ฟ
๐ซ๐ท Lyon 1-1 Ludogorets ๐ง๐ฌ
๐ด๓ ง๓ ข๓ ณ๓ ฃ๓ ด๓ ฟ Rangers 2-1 R. Union SG ๐ง๐ช
๐ช๐ธ Real Sociedad 2-0 PAOK ๐ฌ๐ท
๐ฎ๐น Roma 2-0 Frankfurt ๐ฉ๐ช
๐จ๐ฟ Slavia Prague 2-2 Malmรถ ๐ฉ๐ฐ
๐ต๐น Braga 1-0 Lazio ๐ฎ๐น
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ Tottenham 3-0 Elfsborg ๐ธ๐ช
๐ณ๐ฑ Twente 1-0 Beลiktaล ๐น๐ท
Pendekezo La Mhariri: