Ratiba Robofainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho 2024/25

Filed in Michezo Bongo by on February 12, 2025 0 Comments

Ratiba Robofainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho 2024/25 | SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetangaza kuwa mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho la CAF (CAF CC) kwa msimu wa 2024/25 itafanyika siku 8 kabla ya droo ya mwisho huko Doha, Qatar.

Mashindano hayo yamefikia kiwango cha juu na timu bora barani Afrika zinatarajiwa kupambana ili kufuzu nusu fainali na hatimaye kushinda mashindano husika.

Ratiba Robofainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho 2024/25

Timu Zinazoshiriki Robofainali ya CAF Champions League (CAF CL) 2024/25

Al Ahly SC (Misri)
Al Hilal (Sudan)
AS FAR (Morocco)
Espérance Sportive de Tunis (Tunisia)
Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)
Orlando Pirates (Afrika Kusini)
Pyramids FC (Misri)
MC Alger (Algeria)

Ratiba Robofainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho 2024/25

Ratiba Robofainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho 2024/25

Timu Zinazoshiriki Robofainali ya CAF Confederation Cup (CAF CC) 2024/25

Zamalek SC (Misri)
ASEC Mimosas (Ivory Coast)
Al Masry (Misri)
CS Constantine (Algeria)
RS Berkane (Morocco)
Simba SC (Tanzania)
Stellenbosch FC (Afrika Kusini)
USM Alger (Algeria)

Droo ya mwisho ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika itafanyika mjini Doha, ambapo timu zilizofuzu hatua ya robo fainali zitakutana na wapinzani wao wa nusu fainali.

Kwa Simba SC, huu ni wakati muhimu wa kuonyesha ubora wao katika mashindano ya kimataifa na kuendelea kuinua bendera ya Tanzania katika soka la Afrika.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *