Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025
Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025 Kombe la Shirikisho la CRDB Tanzania Bara. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa ratiba rasmi ya raundi ya nne ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara (CRDB federation cup).
Mechi hizi zitachezwa kuanzia tarehe 2 Machi 2025 hadi 12 Machi 2025, huku mashabiki wakitarajia burudani kali kutoka kwa timu zinazowania ubingwa na nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi.
Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025

Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025
Mechi za 2 Machi 2025
πΉ Cosmopolitan FC vs KMC FC β Dar es Salaam
πΉ Tanzania Prisons vs Bigman FC β Mbeya
πΉ Kagera Sugar vs Namungo FC β Kagera
πΉ Kiluvya FC vs Pamba Jiji β Dar es Salaam
πΉ Mashujaa FC vs Geita Gold β Kigoma
πΉ Azam FC vs Mbeya City β Dar es Salaam
πΉ Singida BS vs Leo Tena FC β Singida
πΉ Fountain Gate vs Stand United β Manyara
Mechi za 3 Machi 2025
πΉ Mbeya Kwanza vs Mambali Ushirikiano β Mtwara
πΉ Polisi Tanzania vs Songea United β Kβnjaro
πΉ Mtibwa Sugar vs Town Stars β Morogoro
πΉ Giraffe Academy vs Green Warriors β Katavi
πΉ JKT Tanzania vs Biashara United β Dar es Salaam
πΉ Tabora United vs Transit Camp β Tabora
Mechi za 11-12 Machi 2025
πΉ Simba SC vs TMA Stars β 11 Machi, Dar es Salaam
πΉ Young Africans (Yanga SC) vs Coastal Union β 12 Machi, Dar es Salaam
Pendekezo La Mhariri: