Ratiba Ligi Kuu NBCTanzania Mzunguko wa 16

Filed in Michezo Bongo by on December 25, 2024 0 Comments

Ratiba Ligi Kuu NBCTanzania Mzunguko wa 16 | Ratiba ya Wiki ya 16 ya Ligi Kuu NBC 2024/25. Ratiba ya mechi za Wiki ya 16 ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) msimu wa 2024/25.

Ratiba hii imeandaliwa kwa tarehe mbalimbali kuanzia Desemba 24 hadi Desemba 29, 2024. Mechi hizi zinatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, huku timu zikihitaji matokeo mazuri ili kuimarisha nafasi zao kwenye msimamo wa ligi.

Ratiba Ligi Kuu NBCTanzania Mzunguko wa 16

Ratiba Ligi Kuu NBCTanzania Mzunguko wa 16

Ratiba Ligi Kuu NBCTanzania Mzunguko wa 16

  • Desemba 24, 2024
    • Singida Black Stars vs Kengold FC
      • Uwanja: CCM Liti, Singida
      • Saa: 14:00
  • Desemba 25, 2024
    • Fountain Gate vs Namungo FC
      • Uwanja: Tanzanite Kwaraa, Manyara
      • Saa: 14:00
  • Desemba 26, 2024
    • Tanzania Prisons vs Pamba Jiji
      • Uwanja: Sokoine, Mbeya
      • Saa: 16:00
  • Desemba 27, 2024
    • Azam FC vs JKT Tanzania
      • Uwanja: Azam Complex, Dar es Salaam
      • Saa: 19:00
  • Desemba 28, 2024
    • Dodoma Jiji vs Mashujaa FC
      • Uwanja: Jamhuri, Dodoma
      • Saa: 18:15
  • Desemba 29, 2024
    • Coastal Union vs KMC FC
      • Uwanja: Sheikh Amri Abeid, Arusha
      • Saa: 16:00
  • Mechi Zilizoahirishwa (PP)
    • Tabora United vs Simba SC
    • Young Africans vs Kagera Sugar

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *