Side wa Kijerumani Sead Ramovic, Anayetikisa Ligi Kuu NBC

Filed in Michezo Bongo by on December 29, 2024 0 Comments

Side wa Kijerumani Sead Ramovic, Anayetikisa Ligi Kuu NBC | Alipoingia kama mgeni kwenye mitaa ya NBC Premier League, wengi waliona Sead Ramovic kama mshindani wa kawaida. Hakuwa na uzoefu wa ligi hii, na mwanzoni alisumbuka kuzoea mazingira mapya. Lakini sasa, Sead Ramovic amejijenga kwa kasi, akiwashangaza mashabiki na wapinzani kwa kiwango chake cha juu.

Side wa Kijerumani Sead Ramovic, Anayetikisa Ligi Kuu NBC

Sead Ramovic alipoanza, alionekana kutafuta mwelekeo wake. Lakini kwa muda mfupi, amegeuka kuwa mwenyeji wa mitaa yote ya ligi. Sasa anaonekana kuelewa jinsi ya kudhibiti mchezo dhidi ya timu yoyote inayomkabili.

Side wa Kijerumani Sead Ramovic, Anayetikisa Ligi Kuu NBC

Side wa Kijerumani Sead Ramovic, Anayetikisa Ligi Kuu NBC

Takwimu za Kuvutia

Tangu Sead Ramovic apate kuzoea ligi, matokeo yake yanaonyesha wazi kwamba amekuwa tishio kwa wapinzani. Katika mechi tano za hivi karibuni, ameongoza timu yake kwa ushindi wa aina yake:

  1. Yanga vs Namungo: 2-0
  2. Yanga vs Mashujaa: 3-2
  3. Yanga vs Prisons: 4-0
  4. Yanga vs Dodoma Jiji: 4-0
  5. Yanga vs Fountain Gate: 5-0

Kwa jumla, timu yake imefunga mabao 18 ndani ya mechi hizo tano za ligi. Ni mechi moja pekee kati ya hizo ambapo ushindi ulikuwa na tofauti ya mabao mawili; zingine zote zimeshuhudia matokeo ya kishindo.

Bado kuna mitaa ambayo Sead Ramovic hajaitembelea kikamilifu, lakini dalili zinaonyesha wazi kuwa akiendelea na mwendo huu, anaweza kuwa moja ya majina makubwa zaidi katika historia ya NBC Premier League.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *