Kikosi Cha Taifa Stars Cha Kombe la Mapinduzi 2025
Kikosi Cha Taifa Stars Cha Kombe la Mapinduzi 2025 | Kilimanjaro Stars Kikosi cha Tanzania Kuelekea Mapinduzi Cup.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha Kilimanjaro Stars kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye vipaji kutoka vilabu mbalimbali nchini.
Kikosi Cha Taifa Stars Cha Kombe la Mapinduzi 2025
Orodha ya Wachezaji:
- Metacha Mnata (Singida BS)
- Ramadhani Chalamanda (Kagera Sugar)
- Anthony Mpemba (Azam FC, Ngorongoro Heroes)
- Lusajo Mwaikenda (Azam FC)
- Nickson Mosha (KMC FC, Ngorongoro Heroes)
- Vedastus Masinde (TMA Stars, Ngorongoro Heroes)
- Lameck Lawi (Coastal Union, Ngorongoro Heroes)
- Wilson Nangu (JKT Tanzania)
- David Bryson (JKT Tanzania)
- Pascal Msindo (Azam FC)
- Hijjah Shamte (Kagera Sugar, Ngorongoro Heroes)
- Semfuko Charles (Coastal Union)
- Said Naushad (Kagera Sugar)
- Ahmed Bakari Pipino (KMC FC, Ngorongoro Heroes)
- Sospeter Bajana (Azam FC)
- Abdulkairim Kiswanya (Azam FC, Ngorongoro Heroes)
- Idd Nado (Azam FC)
- Bakary Msimu (Coastal Union, Ngorongoro Heroes)
- Mdembe Serei (Dodoma Jiji, Ngorongoro Heroes)
- Ayubu Lyanga (Singida BS)
- William Edgar (Fountain Gate)
- Nassor Saadun (Azam FC)
- Enock Chiloka (Tabora United)
- Joshua Ibrahim (Kengold FC)
- Abdul Hamis (Azam FC)
- Sabri Kondo (KVZ, Ngorongoro Heroes)
- Gamba Iddy (JKT Tanzania)
- Crispin Ngushi (Mashujaa FC)
Kocha Mkuu: Ahmad Ally
Kikosi hiki kimeundwa kwa mchanganyiko wa uzoefu na vipaji vipya, kikiwa tayari kwa mashindano yatakayofanyika mwanzoni mwa mwaka 2025.
Pendekezo la Mhariri: