Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatano, 8 Januari 2025
Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatano, 8 Januari 2025 | Leo, Jumatano, tarehe 8 Januari 2025, kuna michezo kadhaa ya kuvutia katika ligi mbalimbali duniani.
Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatano, 8 Januari 2025
Hapa chini ni orodha kamili ya mechi zinazochezwa leo:
πΉπ· 20:30 – Galatasaray vs Basaksehir (Ligi Kuu ya Uturuki)
πΏπ¦ 20:30 – Cape Town vs Orlando Pirates (Ligi Kuu ya Afrika Kusini)
πΏπ¦ 20:30 – Kaizer Chiefs vs Stellenbosch (Ligi Kuu ya Afrika Kusini)
πͺπΈ 22:00 – Athletic Club vs Barcelona (La Liga, Hispania)
π§πͺ 22:45 – Royal Antwerp vs Union St Gilloise (Pro League, Ubelgiji)
π΅πΉ 22:45 – SL Benfica vs FC Braga (Primeira Liga, Ureno)
π΄ 22:45 – Celtic FC vs Dundee United (Scottish Premiership, Uskoti)
π΄ 23:00 – Tottenham Hotspur vs Liverpool FC (Premier League, Uingereza)
Hizi ni mechi muhimu zinazoshirikisha baadhi ya klabu kubwa duniani, na mashabiki wakiwa na hamu ya kuona matokeo yatakavyokuwa.
Pendekezo la Mhariri: