Fikirini Bakari Ajiunga na Tabora United Akitokea Singida BS
Fikirini Bakari Ajiunga na Tabora United Akitokea Singida BS
Fikirini Bakari Ajiunga na Tabora United Akitokea Singida BS | Katika mabadiliko ya dirisha la usajili, mlinda mlango Fikirini Bakari amehamia Tabora United kutoka Singida Black Stars.
Fikirini, ambaye msimu uliopita alikua akichezea Fountain Gate FC kwa mkopo, sasa ataitumikia Tabora United katika mzunguko wa pili wa ligi.
Vilevile, Hussein Masalanga, ambaye alikua sehemu ya Tabora United, amerudishwa Singida Black Stars. Huu ni mabadiliko ya kipekee kwa timu zote mbili, na mabadiliko haya yanaweza kuwa na athari muhimu kwenye michezo ya ligi kuu.
Tabora United wanatarajia kwamba Fikirini Bakari atachangia kwa kiwango kikubwa kwa timu yao, huku wakitafuta kufufua matumaini yao katika mzunguko wa pili wa msimu huu.
Pendekezo La Mhariri: