Ratiba ya Mechi za 5 Klabu Bingwa Afrika, CAF Champions League
Ratiba ya Mechi za 5 Klabu Bingwa Afrika, CAF Champions League | Ratiba ya Matchday 5 ya CAF Champions League: Mechi muhimu zitachezwa kati ya MC Alger, TP Mazembe, Young Africans, Mamelodi Sundowns na zaidi. Tazama mechi za makundi kutoka Januari 10 hadi 12, 2025.
Ratiba ya Mechi za 5 Klabu Bingwa Afrika, CAF Champions League
Hapa chini ni ratiba ya mechi za Matchday 5 kwa CAF Champions League, ambazo zitachezwa kuanzia Januari 10 hadi Januari 12, 2025. Timu kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika zitachuana kutafuta tiketi ya kufuzu hatua inayofuata ya mashindano haya makubwa ya vilabu barani Afrika.
Group A
- MC Alger vs TP Mazembe – 10 Januari, 19:00 GMT
- Al Hilal Omdurman vs Young Africans – 12 Januari, 19:00 GMT
Group B
- Maniema Union vs Mamelodi Sundowns – 11 Januari, 13:00 GMT
- FAR Rabat vs Raja Casablanca – 11 Januari, 19:00 GMT
Group C
- Stade d’Abidjan vs Al Ahly – 11 Januari, 16:00 GMT
- Orlando Pirates vs CR Belouizdad – 12 Januari, 13:00 GMT
Group D
- Sagrada Esperança vs Pyramids – 11 Januari, 16:00 GMT
- Djoliba vs Esperance – 12 Januari, 16:00 GMT
Mechi hizi zitakuwa na mvutano mkubwa, ambapo timu zitajitahidi kutafuta ushindi muhimu katika hatua ya makundi, huku wakiwa na lengo la kufuzu kwa raundi inayofuata ya mashindano.
Pendekezo La Mhariri: