Timu Zilizofuzu Robo Fainali CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Filed in Michezo Bongo by on January 14, 2025 0 Comments

Timu Zilizofuzu Robo Fainali CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 | CAF Champions

Michezo ya hatua ya makundi ya Klabu Bingwa barani Afrika inakaribia kufikia tamati huku vilabu mbalimbali vikihangaika kuwania nafasi za kufuzu kwa hatua ya robo fainali.

Tayari baadhi ya timu zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele, huku zingine zikisubiri mechi za mwisho kuamua hatima yao. Hadi sasa, Al Hilal ya Sudan ndiyo timu pekee iliyojihakikishia tiketi ya robo fainali, huku timu nyingine zikisalia kupambana katika mzunguko wa mwisho wa makundi.

Timu Zilizofuzu Robo Fainali CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

Timu Zilizofuzu Robo Fainali CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025

  1. Al Hilal Omdurman
  2. ASFAR
  3. Pyramids Fc
  4. Orlando Pirates
  5. Al Ahly

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *