Usajili Pamba Jiji, Wachezaji Wapya Waliosajiliwa 2025

Filed in Michezo Bongo by on January 17, 2025 0 Comments

Usajili Pamba Jiji, Wachezaji Wapya Waliosajiliwa 2025 | Klabu ya Pamba Jiji imeongeza nguvu katika kikosi chake kwa kutambulisha wachezaji wapya ambao wataongeza ushindani na kuimarisha timu katika michuano ya msimu huu.

Hadi sasa, wachezaji hawa ni sehemu ya mipango ya baadaye ya klabu hiyo:

  1. Shassir Nahimana – Burundi 🇧🇮
  2. Mohamed Kamara – Sierra Leone 🇸🇱
  3. Francois Bakari – Cameroon 🇨🇲
  4. Mathew Tegis – Kenya 🇰🇪
  5. Abdulaye Camara – Guinea 🇬🇳

Usajili Pamba Jiji, Wachezaji Wapya Waliosajiliwa 2025

Wachezaji hawa wapya kutoka mataifa mbalimbali wataongeza uzoefu na ubora katika Pamba Jiji, huku timu ikijiandaa kwa changamoto za ndani na kimataifa.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *