Simba Kinara wa Penati Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/25

Filed in Michezo Bongo by on January 17, 2025 0 Comments

Simba Kinara wa Penati Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/25 | Ligi Kuu ya Tanzania Bara itarejea mapema Februari baada ya michuano ya CHAN 2024 kuahirishwa hadi Machi.

Simba Kinara wa Penati Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/25

Simba SC wanaongoza ligi kwa mikwaju ya penalti msimu wa 2024/25 hadi sasa, wakiwa wameambulia jumla ya penati 6, na wamefanikiwa kuzifunga zote na kuwa magoli, wakionyesha asilimia 100 ya kubadilika.

Nafasi ya pili inashikwa na Namungo, Tabora na Coastal Union, zote zikiwa na penati 5 kila moja. Hizi ndizo klabu zinazoongoza kwa ufanisi wa penalti msimu huu.

Simba Kinara wa Penati Ligi Kuu Tanzania Bara 2024/25

Kwa upande mwingine, Azam FC, Yanga na Fountain Gate zimefanikiwa kubadilisha penalti zao kuwa za mabao, lakini zimefungwa penalti chache ikilinganishwa na klabu nyingine.

Hata hivyo, ni muhimu kutaja tukio la Mchezaji Aziz Ki wa Yanga ambaye alikosa penalti dhidi ya Tabora United. Penati hiyo iliwekwa kimiani na kipa Hussein Masalanga katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Chamazi, ambapo Yanga ilipoteza kwa mabao 3-1.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *