Ratiba ya Mechi za Leo Jumanne – Januari 21, 2025
Ratiba ya Mechi za Leo Jumanne – Januari 21, 2025 | mashabiki wa soka watajionea mechi za kupigiwa hesabu kutoka kwa timu kubwa kutoka bara la Ulaya, Asia, na zaidi.
Ratiba ya Mechi za Leo Jumanne – Januari 21, 2025
Hapa chini ni ratiba ya mechi za leo:
🇸🇦 17:40 – Al Khaleej vs Al Nassr FC
🏟 18:30 – Galatasaray 🇹🇷 vs Dinamo Kyiv 🇺🇦
🇸🇦 20:00 – Al Hilal FC vs Al Wehda
🏟 20:45 – Atalanta BC 🇮🇹 vs Sturm Graz 🇦🇹
🏟 20:45 – Monaco 🇫🇷 vs Aston Villa 🏴
🏟 23:00 – Bologna FC 🇮🇹 vs Dortmund 🇩🇪
🏟 23:00 – Club Brugge 🇧🇪 vs Juventus FC 🇮🇹
🏟 23:00 – Crevena Zvezda 🇷🇸 vs PSV Eindhoven 🇳🇱
🏟 23:00 – Slovan Bratislava 🇸🇰 vs VFB Stuttgart 🇩🇪
🏟 23:00 – Liverpool FC 🏴 vs LOSC Lille 🇫🇷
🏟 23:00 – SL Benfica 🇵🇹 vs FC Barcelona 🇪🇸
🏟 23:00 – Atletico Madrid 🇪🇸 vs Bayer Leverkusen 🇩🇪
Mashabiki wanatarajia kuona timu zinazoonyesha kiwango cha juu na ushindani mkubwa katika ligi mbalimbali, huku mechi hizi zikileta fursa ya kuona nyota wakubwa wakipambana uwanjani.