Yanga Kuwauza Mzize na Azizi Ki Mwisho wa Msimu 2024/2025

Filed in Michezo Bongo by on January 30, 2025 0 Comments

Yanga Kuwauza Mzize na Azizi Ki Mwisho wa Msimu 2024/2025 | Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano ya kuwaachia nyota wake Clement Mzize na Azizi Ki mwishoni mwa msimu wa 2024/2025.

Yanga Kuwauza Mzize na Azizi Ki Mwisho wa Msimu 2024/2025

Uamuzi huu umetangazwa rasmi na klabu hiyo huku ikiwahakikishia wachezaji hao kuwa wataruhusiwa kuondoka na kujiunga na vilabu vingine.

Wachezaji wamepokea habari hizi kwa furaha, na sasa vita ya kuwaweka mikononi mwao ni Wydad Casablanca, Raja Casablanca na RS Berkane, ambao wanaonyesha nia kubwa ya kuwasajili.

Yanga Kuwauza Mzize na Azizi Ki Mwisho wa Msimu 2024/2025

Yanga Kuwauza Mzize na Azizi Ki Mwisho wa Msimu 2024/2025

Hatua hii inaweza kubadili kwa kiasi kikubwa mipango ya klabu hizi kubwa za Morocco, kwani Mzize na Azizi Ki wamekuwa wachezaji muhimu katika mafanikio ya Yanga SC katika misimu ya hivi karibuni.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *