Msimamo Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025

Filed in Michezo Bongo by on January 30, 2025 0 Comments

Msimamo Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025 | Huu hapa ni msimamo wa Ligi ya Wanawake Tanzania Bara kwa mzunguko wa 11 wa msimu wa 2024/2025 Simba Queens Yaendelea Kung’ara:

Simba Queens wanaongoza msimamo wa ligi wakiwa na pointi 31 baada ya kucheza michezo 11 bila kufungwa hata mmoja. JKT Queens wapo nafasi ya pili wakiwa na pointi 26, wakifuatiwa na Yanga Princess na Mashujaa Queens wenye pointi 18 kila moja.

Mlandizi Queens wapo nafasi ya mwisho wakiwa na pointi 1 pekee baada ya mechi 11, na wanaweza kushuka daraja iwapo hawataboresha matokeo katika mechi zijazo.

Msimamo Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025

Msimamo Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025

Msimamo Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025

Nafasi Timu P W D L GF GA GD PTS
1 Simba Queens 11 10 1 0 42 7 35 31
2 JKT Queens 10 8 2 0 32 3 29 26
3 Yanga Princess 10 5 3 2 19 8 11 18
4 Mashujaa Queens 11 5 3 3 20 10 10 18
5 Alliance Girls 11 3 2 6 15 23 -8 11
6 Fountain Gate Princess 10 3 1 6 17 17 0 10
7 Ceasiaa Queens 9 3 1 5 10 23 -13 10
8 Gets Program 7 2 1 4 9 14 -5 9
9 Bunda Queens 10 1 3 6 7 19 -12 6
10 Mlandizi Queens 11 0 1 10 5 52 -47 1

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *