Mongo Nkai
Mongo Nkai's Latest Posts
Simba Yafungiwa Kuingiza Mashabiki Kwa Mkapa
Simba Yafungiwa Kuingiza Mashabiki Kwa Mkapa | Simba SC Yafungiwa Kuingiza Mashabiki kwenye Mechi ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Constantine Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limechukua hatua kali dhidi ya klabu ya Simba SC kwa kuifungia kuingiza mashabiki kwenye mchezo wake wa mwisho wa hatua ya makundi ya Kombe […]
Timu Zilizofuzu Robo Fainali CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Timu Zilizofuzu Robo Fainali CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 | CAF Champions Michezo ya hatua ya makundi ya Klabu Bingwa barani Afrika inakaribia kufikia tamati huku vilabu mbalimbali vikihangaika kuwania nafasi za kufuzu kwa hatua ya robo fainali. Tayari baadhi ya timu zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele, huku zingine zikisubiri mechi za mwisho kuamua hatima […]
Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025
Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025 | Michezo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika inakaribia kufikia tamati huku vilabu vikubwa barani Afrika vikihangaika kuwania nafasi za kufuzu kwa hatua ya robo fainali. Tayari baadhi ya timu zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele, huku zingine zikitegemea mechi za mwisho ili kuamua […]
Ngassa Kwenye Upangaji wa Droo Makundi ya CHAN 2025 Nairobi
Ngassa Kwenye Upangaji wa Droo Makundi ya CHAN 2025 Nairobi | Mrisho Ngassa, mchezaji maarufu wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, atashiriki kama mmoja wa wachezaji mashuhuri katika droo ya upangaji wa makundi ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za nyumbani (CHAN) itakayofanyika Januari 15, 2025, mjini […]
Guardiola Athibitisha Walker Kuomba Kuondoka
Guardiola Athibitisha Walker Kuomba Kuondoka | Pep Guardiola amethibitisha kuwa Kyle Walker ameiomba Manchester City kuondoka Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amethibitisha kuwa nahodha wa klabu hiyo Kyle Walker ameomba kuondoka katika klabu hiyo. Guardiola alieleza kuwa taarifa hizo zilitolewa siku tatu zilizopita, wakati wakizungumza na mchezaji huyo kuhusu ombi lake. Walker, raia wa […]
Barcelona Mabingwa wa Kombe la Uhispania
Barcelona Mabingwa wa Kombe la Uhispania Barcelona Mabingwa wa Kombe la Uhispania baada ya Ushindi wa 5-2 Dhidi ya Real Madrid. Barcelona wamevuna taji la Kombe la Uhispania (Spanish Super Cup) kwa kuibuka na ushindi wa 5-2 dhidi ya Mabingwa watetezi, Real Madrid, katika mechi ya kusisimua iliyochezwa kwenye dimba la King Abdullah Sports City, […]
Djimon Hounsou Licha ya Mafanikio Anakabiliwa na Ukata wa Kifedha
Djimon Hounsou Licha ya Mafanikio Anakabiliwa na Ukata wa Kifedha | Hounsou anasema anakabiliwa na changamoto za kifedha licha ya mafanikio huko Hollywood Mwigizaji wa Hollywood, Djimon Hounsou, ambaye amekuwa kwenye tasnia ya filamu kwa zaidi ya miongo miwili, amefichua kwa mshangao kwamba bado anakabiliwa na changamoto kubwa za kifedha, licha ya mafanikio yake na […]
Yanga Yaomboleza Kifo cha Baba wa Chadrack Boka
Yanga Yaomboleza Kifo cha Baba wa Chadrack Boka | Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Chadrack Boka (25) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amepata pigo kubwa kufuatia kifo cha baba yake mzazi kilichotokea Januari 11, 2025 nyumbani kwake Kinshasa, DRC. . Kifo cha baba yake kimeacha machungu makubwa kwa familia ya […]
Che Malone Awaomba Radhi Wanasimba
Che Malone Awaomba Radhi Wanasimba | Beki kitasa wa Simba Sc, Che Fondoh Malone (25) almaarufu ‘Ukuta wa Yeriko’ raia wa Cameroon ameomba radhi kwa kosa alilofanya jana kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika lililoigharimu timu hiyo kuruhusu bao la mapema dhidi ya Bravos do Marquis ya Angola. Che Malone Awaomba Radhi Wanasimba “Napenda […]
Yanga Yaongeza Matumaini ya Kufuzu Robo Fainali ya CAFCL
Yanga Yaongeza Matumaini ya Kufuzu Robo Fainali ya CAFCL | Yanga SC Yashinda 1-0 Dhidi ya Al Hilal na Kuongeza Matumaini ya Kufuzu Robo Fainali ya CAFCL Yanga Yaongeza Matumaini ya Kufuzu Robo Fainali ya CAFCL Yanga SC imeendelea kuweka matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) hai, […]