Mongo Nkai

rss feed

Mongo Nkai's Latest Posts

Manchester United Yatinga 16 Bora Kombe la FA

Filed in Michezo Mambele by on January 13, 2025 0 Comments
Manchester United Yatinga 16 Bora Kombe la FA

Manchester United Yatinga 16 Bora Kombe la FA Baada ya Ushindi wa Matuta Dhidi ya Arsenal Manchester United Yatinga 16 Bora Kombe la FA Manchester United imetinga hatua ya 16 bora ya Kombe la FA baada ya kushinda kwa penalti 5-3 dhidi ya Arsenal, katika mchezo uliofanyika kwenye dimba la Emirates. Mchezo huu ulimalizika kwa […]

Continue Reading »

Azam Yamalizana Zidane Mkataba wa Miaka Mitano

Filed in Michezo Bongo by on January 12, 2025 0 Comments
Azam Yamalizana Zidane Mkataba wa Miaka Mitano

Azam Yamalizana Zidane Mkataba wa Miaka Mitano Azam Yamalizana Zidane Mkataba wa Miaka Mitano | Azam FC imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Zidane Sereri kutoka Dodoma Jiji FC. Zidane, 19, amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitano na kumfanya aendelee kuitumikia Azam FC hadi 2030. Zidane aliyefanya vyema msimu wa 2024 akiwa na […]

Continue Reading »

Polisi Tanzania Mbioni Kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara

Filed in Michezo Bongo by on January 12, 2025 0 Comments
Polisi Tanzania Mbioni Kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara

Polisi Tanzania Mbioni Kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania wameendelea kuutumia vyema uwanja wao wa nyumbani, Ushirika Moshi, baada ya kuifunga Biashara United mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya mwishoni mwa wiki. Polisi Tanzania Mbioni Kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Ofisa Habari wa […]

Continue Reading »

Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February

Filed in Michezo Bongo by on January 12, 2025 0 Comments
Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February

Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February | Pambano linalosubiriwa kwa hamu kati ya Gor Mahia na Yanga SC linatarajiwa kupigwa katika uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga kaunti ya Siaya. Mabingwa wa Kenya, Gor Mahia watamenyana na miamba ya soka ya Tanzania […]

Continue Reading »

Simba Yafuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF

Filed in Michezo Bongo by on January 12, 2025 0 Comments
Simba Yafuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF

Simba Yafuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF Simba Yafuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF | Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika, Simba Sc imetinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji Bravos do Marquis ya Angola katika dimba la Estádio Da Tundavala kwenye mchezo […]

Continue Reading »

Abdalla Kheri Apokea Zawadi ya Mchezaji Bora Mwenye Nidhamu

Filed in Michezo Bongo by on January 11, 2025 0 Comments
Abdalla Kheri Apokea Zawadi ya Mchezaji Bora Mwenye Nidhamu

Abdalla Kheri Apokea Zawadi ya Mchezaji Bora Mwenye Nidhamu Abdalla Kheri Apokea Zawadi ya Mchezaji Bora Mwenye Nidhamu | Abdalla Kheri, maarufu kama Sebo, ametunukiwa kiasi cha Shilingi Laki Mbili (200,000/=) kama zawadi ya Mchezaji Bora mwenye nidhamu katika mchezo kati ya Kenya na Zanzibar Heroes. Tuzo hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa Chuo cha Afya […]

Continue Reading »

Brentford Yakataa Ofa ya Manchester United kwa Bryan Mbeumo

Filed in Michezo Mambele by on January 11, 2025 0 Comments
Brentford Yakataa Ofa ya Manchester United kwa Bryan Mbeumo

Brentford Yakataa Ofa ya Manchester United kwa Bryan Mbeumo | Klabu ya Brentford imeripotiwa kukataa ofa ya pauni milioni 35 kutoka Manchester United kwa mshambuliaji wao nyota Bryan Mbeumo, raia wa Cameroon. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25, ambaye thamani yake inakadiriwa kufikia Euro milioni 40, anatajwa kuwa tayari kuondoka klabuni hapo katika dirisha […]

Continue Reading »

Zanzibar Heroes Yatinga Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2025

Filed in Michezo Bongo by on January 11, 2025 0 Comments
Zanzibar Heroes Yatinga Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2025

Zanzibar Heroes Yatinga Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2025 Zanzibar Heroes Yatinga Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2025 | Michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 imeendelea kwa msisimko, huku Zanzibar Heroes ikijihakikishia nafasi ya kucheza fainali baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Harambee Stars ya Kenya. Mchezo huo wa nusu fainali, […]

Continue Reading »

Robert Matano Atangazwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate

Filed in Michezo Bongo by on January 11, 2025 0 Comments
Robert Matano Atangazwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate

Robert Matano Atangazwa Kocha Mkuu wa Fountain Gate | Kocha wa zamani wa Sofapaka ya Kenya Robert Matano ametangazwa rasmi kuwa kocha mpya wa klabu ya Fountain Gate FC yenye maskani yake mjini Babati nchini Tanzania. Matano raia wa Kenya na mmoja wa makocha waliofanya vizuri katika soka la Afrika Mashariki anachukua nafasi ya Mohamed […]

Continue Reading »

TP Mazembe Yaondolewa Ligi ya Mabingwa Baada ya Kipigo cha 1-0

Filed in Michezo Bongo by on January 11, 2025 0 Comments
TP Mazembe Yaondolewa Ligi ya Mabingwa Baada ya Kipigo cha 1-0

TP Mazembe Nje Ligi ya Mabingwa Baada ya Kipigo cha 1-0 na MC Alger | TP Mazembe Yaondolewa Ligi ya Mabingwa Baada ya Kipigo cha 1-0. TP Mazembe Yaondolewa Ligi ya Mabingwa Baada ya Kipigo cha 1-0 TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeaga rasmi mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya […]

Continue Reading »