Mongo Nkai

rss feed

Mongo Nkai's Latest Posts

Ratiba ya Mechi Kubwa za Leo Ijumaa

Filed in Michezo Mambele by on January 10, 2025 0 Comments
Ratiba ya Mechi Kubwa za Leo Ijumaa

Ratiba ya Mechi Kubwa za Leo Ijumaa | Ratiba ya mechi kubwa za leo, Ijumaa Januari 10, 2025: Matukio ya soka kutoka ligi mbalimbali duniani, ikiwa ni pamoja na mechi za Al Ahli, Kenya, Angers, Borussia Dortmund, Aston Villa na zaidi. Ratiba ya Mechi Kubwa za Leo Ijumaa Leo, Ijumaa, Januari 10, 2025, kutakuwa na […]

Continue Reading »

Rayon Sports Yakaribia Kumsajili Bayo Aziz Fahad

Filed in Michezo Bongo by on January 10, 2025 0 Comments
Rayon Sports Yakaribia Kumsajili Bayo Aziz Fahad

USAJILI Rayon Sports Yakaribia Kumsajili Bayo Aziz Fahad | Rayon Sports inakaribia kumsajili mshambuliaji Bayo Aziz Fahad kutoka Uganda, baada ya kushindwa kupata nafasi ya kutosha katika klabu ya MFK Vyškov. Rayon Sports inaongoza Ligi Kuu Rwanda na inategemea nguvu mpya kutoka kwa Fahad. Rayon Sports Yakaribia Kumsajili Bayo Aziz Fahad Rayon Sports ya Rwanda […]

Continue Reading »

Everton Yamfuta Kazi Sean Dyche Kufuatia Mwenendo Mbaya

Filed in Michezo Mambele by on January 10, 2025 0 Comments
Everton Yamfuta Kazi Sean Dyche Kufuatia Mwenendo Mbaya

Everton Yamfuta Kazi Sean Dyche Kufuatia Mwenendo Mbaya | Everton yamfuta kazi Sean Dyche baada ya mwenendo mbaya msimu huu, timu ikiwa nafasi ya 16 kwenye Ligi Kuu England. Leighton Baines na Seamus Coleman wanachukua majukumu kwa muda, huku David Moyes na Mourinho wakitajwa kama warithi. Everton Yamfuta Kazi Sean Dyche Kufuatia Mwenendo Mbaya Klabu […]

Continue Reading »

Amad Diallo Aongezewa Mkataba Mpya na Manchester United Hadi 2030

Filed in Michezo Mambele by on January 10, 2025 0 Comments
Amad Diallo Aongezewa Mkataba Mpya na Manchester United Hadi 2030

Amad Diallo Aongezewa Mkataba Mpya na Manchester United Hadi 2030 | Amad Diallo aongeza mkataba na Manchester United hadi Juni 2030, akielezea malengo makubwa baada ya kusaini mkataba mpya. Mchezaji wa Ivory Coast akae kwenye Old Trafford kwa miaka mingine mingi. Amad Diallo Aongezewa Mkataba Mpya na Manchester United Hadi 2030 Winga wa Manchester United, […]

Continue Reading »

Madrid Yafuzu Fainali ya Kombe la Uhispania kwa Ushindi wa 3-0

Filed in Michezo Mambele by on January 10, 2025 0 Comments
Madrid Yafuzu Fainali ya Kombe la Uhispania kwa Ushindi wa 3-0

Madrid Yafuzu Fainali ya Kombe la Uhispania kwa Ushindi wa 3-0 Dhidi ya Real Mallorca | Real Madrid yashinda 3-0 dhidi ya Real Mallorca na kufuzu fainali ya Kombe la Uhispania, ambapo itachuana na Barcelona Januari 12, 2025. Goli la Bellingham, Valjent (og) na Rodrygo waandika historia. Madrid Yafuzu Fainali ya Kombe la Uhispania kwa […]

Continue Reading »

Msimamo wa Kundi la Mapinduzi Cup 2025

Filed in Michezo Bongo by on January 9, 2025 0 Comments
Msimamo wa Kundi la Mapinduzi Cup 2025

Msimamo wa Kundi la Mapinduzi Cup 2025 | Msimamo wa kundi la Tanzania bara Mapinduzi Cup 2025, Msimamo wa kundi la Kilimanjaro Stars Mapinduzi Cup 2025, Msimamo  Makundi la Mapinduzi Cup 2025, Msimamo Mapinduzi Cup 2025, Msimamo Wa Kundi Kombe la Mapinduzi 2025,MSIMAMO Mapinduzi Cup 2025 Msimamo wa Kundi la Mapinduzi Cup 2025 Pos Timu […]

Continue Reading »

Pamba Jiji Yaafikia Makubaliano na Napsa Stars kwa Larry Bwalya

Filed in Michezo Bongo by on January 9, 2025 0 Comments
Pamba Jiji Yaafikia Makubaliano na Napsa Stars kwa Larry Bwalya

Pamba Jiji Yaafikia Makubaliano na Napsa Stars kwa Larry Bwalya | Klabu ya Pamba Jiji imefikia makubaliano na Napsa Stars ya Zambia kumsajili kiungo mkabaji Larry Bwalya kwa mkopo wa miezi sita. Pamba Jiji Yaafikia Makubaliano na Napsa Stars kwa Larry Bwalya Mkataba huo pia una kipengele cha kusaini moja kwa moja, hivyo Pamba Jiji […]

Continue Reading »

Yanga Yainasa Saini ya Winga Jonathan Ikangalombo

Filed in Michezo Bongo by on January 9, 2025 0 Comments
Yanga Yainasa Saini ya Winga Jonathan Ikangalombo

Yanga Yainasa Saini ya Winga Jonathan Ikangalombo USAJILI Yanga Yainasa Saini ya Winga Jonathan Ikangalombo | Baada ya mazungumzo ya muda mrefu kati ya Yanga na klabu ya Vita Club, hatimaye Yanga wamefanikiwa kumsajili winga Jonathan Ikangalombo Kapela (22) kwa mkataba wa miaka miwili. Rais wa Vita Club, Amadou Diaby, amekubali kumuachia winga huyo mwenye […]

Continue Reading »

Kocha Fadlu Amtaka Kiungo Mkabaji Moussa Conte wa CS Sfaxien

Filed in Michezo Bongo by on January 9, 2025 0 Comments
Kocha Fadlu Amtaka Kiungo Mkabaji Moussa Conte wa CS Sfaxien

Kocha Fadlu Amtaka Kiungo Mkabaji Moussa Conte wa CS Sfaxien | Taarifa za ndani kutoka Simba SC zimeeleza kuwa kocha Fadlu Davids anavutiwa sana na uwezo wa kiungo mshambuliaji wa CS Sfaxien Balla Moussa Conte na anajipanga kumleta katika timu yake. Kocha Fadlu Amtaka Kiungo Mkabaji Moussa Conte wa CS Sfaxien Chanzo cha ndani kinadai […]

Continue Reading »

AmaZulu Yaonyesha Nia ya Kumsajili Kibu Denis

Filed in Michezo Bongo by on January 9, 2025 0 Comments
AmaZulu Yaonyesha Nia ya Kumsajili Kibu Denis

AmaZulu Yaonyesha Nia ya Kumsajili Kibu Denis | AmaZulu wanaonyesha kumtaka mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis AmaZulu Yaonyesha Nia ya Kumsajili Kibu Denis Klabu ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, AmaZulu FC, imetuma ofa kwa Simba SC kumsajili mshambuliaji wake, Kibu Denis (26). AmaZulu limesema limefanya mazungumzo na Wekundu hao wa Msimbazi kuhusu usajili […]

Continue Reading »