ujuzitz
ujuzitz's Latest Posts
Viingilio Mechi ya Yanga vs Al Hilal 26.11.2024
Viingilio Mechi ya Yanga vs Al Hilal 26.11.2024 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara na wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga SC, wametangaza rasmi bei za tiketi za kuingia uwanjani kutazama mchezo wao wa kwanza wa Klabu Bingwa Afrika CAF. Mchezo huo umepangwa kuchezwa Jumanne ya tarehe 26 […]
Viingilio Mechi ya Simba SC Dhidi ya FC Bravos do Maquis 27/11/2024
Viingilio Mechi ya Simba SC Dhidi ya FC Bravos do Maquis 27/11/2024 Klabu ya Simba Sc almaharufu kama wkundu wa Msimbazi, imetangaza rasmi gharama za kwenda kuutazama mchezo wao wa kwanza wa hatua za maundi za kombe la shirikisho ambao umepangwa kutiua vumbi katika uwanja wa benjamin mkapa siku ya jumatano ya tarehe 27 novemba […]