Fahamu Jinsi Mechi za Mtoano za UEFA zitakavyo Chezwa
Fahamu Jinsi Mechi za Mtoano za UEFA zitakavyo Chezwa | KNOCKOUT PLAY-OFF UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2024/25. Ratiba Rasmi ya Knockout Play-Off UEFA Champions League 2024/25.
Fahamu Jinsi Mechi za Mtoano za UEFA zitakavyo Chezwa
Ratiba ya michezo ya Knockout Play-Off ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) msimu wa 2024/25. Ratiba imegawanyika katika makundi mawili:
Seeded Pairings (Timu zilizopangwa kwa nafasi ya juu):
- Atalanta vs Borussia Dortmund
- Real Madrid vs Bayern München
- Milan vs PSV Eindhoven
- Paris Saint-Germain (PSG) vs Benfica
Unseeded Pairings (Timu zisizo kwenye nafasi ya juu):
- Sporting CP vs Club Brugge
- Celtic vs Manchester City
- Feyenoord vs Juventus
- Monaco vs Stade Brest
Pendekezo La Mhariri: