Kikosi Bora cha Wiki ya UEFA Mechi za Mzunguko wa 8
Kikosi Bora cha Wiki ya UEFA Mechi za Mzunguko wa 8 | Hii hapa orodha ya wachezaji waliounda kikosi bora cha wiki ya UEFA, kilichojumuisha nyota waliotoa mchango mkubwa katika mechi zao:
Kikosi hiki kinajumuisha wachezaji kutoka vilabu vikubwa barani Ulaya kama Real Madrid, PSG, Inter Milan, na Barcelona. Kila mchezaji alichaguliwa kutokana na uwezo wao wa kipekee wa kusaidia timu zao kufanikisha matokeo bora.
Kikosi Bora cha Wiki ya UEFA Mechi za Mzunguko wa 8
Washambuliaji (Forwards):
- Antoine Griezmann (Atletico Madrid)
- Lautaro Martinez (Inter Milan)
- Ousmane Dembélé (Paris Saint-Germain)
Viungo wa Kati (Midfielders):
- Pavlović (Bayern Munich)
- Rogers (Aston Villa)
- Mateo Kovačić (Manchester City)
Mabeki (Defenders):
- Mitchel Bakker (Lille)
- Nicolás Otamendi (Benfica)
- Ronald Araújo (Barcelona)
- Malić (Eintracht Frankfurt)
Golikipa (Goalkeeper):
- Thibaut Courtois (Real Madrid)
Pendekezo La Mhariri: