Klabu za EPL Zatumia Pauni Bilioni 2 Usajili wa Msimu wa 2024/25
Klabu za EPL Zatumia Pauni Bilioni 2 Usajili wa Msimu wa 2024/25 | Dirisha la uhamisho la Januari 2025 limefungwa rasmi na klabu za Premier League zimeripotiwa kutumia jumla ya pauni bilioni 2 (Tsh. 6.3 trilioni) katika madirisha mawili ya uhamisho wa msimu wa 2024/25.
Miongoni mwa klabu zinazoongoza kwa matumizi makubwa ni pamoja na Brighton & Hove Albion, ambao wamekuwa na matokeo mazuri msimu huu. Brighton wametumia pauni milioni 231.4 (Tsh732.5 bilioni) kwa uhamisho wao, na kuifanya kuwa klabu ambayo imetumia pesa nyingi kuliko timu nyingine yoyote kwenye ligi.

Klabu za EPL Zatumia Pauni Bilioni 2 Usajili wa Msimu wa 2024/25
Matumizi haya makubwa yanaonyesha jinsi klabu za Ligi Kuu zinavyoendelea kuwekeza fedha nyingi katika kusajili wachezaji wa kiwango cha juu ili kuongeza ushindani katika ligi inayotajwa kuwa bora zaidi duniani.
Pendekezo La Mhariri: