Liverpool Yatinga Fainali ya Carabao Cup Yaichapa Tottenham 4-0

Filed in Michezo Bongo by on February 7, 2025 0 Comments

Liverpool Yatinga Fainali ya Carabao Cup Yaichapa Tottenham 4-0 | Liverpool wamefuzu kwa fainali ya Kombe la Carabao (EFL Cup) baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Tottenham katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali, hivyo kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1.

Liverpool Yatinga Fainali ya Carabao Cup Yaichapa Tottenham 4-0

Matokeo ya mechi:

Liverpool Yatinga Fainali ya Carabao Cup Yaichapa Tottenham 4-0

Liverpool Yatinga Fainali ya Carabao Cup Yaichapa Tottenham 4-0

Liverpool 4-0 Tottenham (Agg 4-1)
⚽ 34’ Cody Gakpo
⚽ 51’ Mohamed Salah
⚽ 75’ Dominik Szoboszlai
⚽ 80’ Virgil van Dijk

Kwa ushindi huo, Liverpool sasa itamenyana na Newcastle United katika fainali tarehe 16 Machi 2025 kwenye Uwanja wa Wembley jijini London. Newcastle walitinga fainali baada ya kuifunga Arsenal kwa jumla ya mabao 4-0 katika nusu fainali nyingine.

Fainali hii inatarajiwa kuwa ya kusisimua, huku Liverpool wakisaka taji lao la kumi la Carabao Cup, huku Newcastle wakipania kushinda kwa mara ya kwanza kwenye kinyang’anyiro hicho.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *