Manchester United Yatinga 16 Bora Kombe la FA

Filed in Michezo Mambele by on January 13, 2025 0 Comments

Manchester United Yatinga 16 Bora Kombe la FA Baada ya Ushindi wa Matuta Dhidi ya Arsenal

Manchester United Yatinga 16 Bora Kombe la FA

Manchester United imetinga hatua ya 16 bora ya Kombe la FA baada ya kushinda kwa penalti 5-3 dhidi ya Arsenal, katika mchezo uliofanyika kwenye dimba la Emirates. Mchezo huu ulimalizika kwa sare ya 1-1 baada ya dakika 120, ambapo matokeo ya mwisho yalikuwa yakitegemea matuta.

Katika dakika ya 52, Bruno Fernandes alifungua akaunti kwa Manchester United, lakini Arsenal walijibu katika dakika ya 63 kupitia kwa Gabriel, hivyo kusababisha sare ya 1-1 ambayo ilidumu hadi mwishoni mwa muda wa ziada.

Manchester United Yatinga 16 Bora Kombe la FA

Manchester United Yatinga 16 Bora Kombe la FA

Katika matuta, Manchester United walionesha umahiri mkubwa, wakishinda 5-3 baada ya Arsenal kupoteza penalty moja. Dalot wa United alikosa penalti katika kipindi cha kawaida, lakini alikosa kwenye matuta, huku United wakikamilisha ushindi kwa kutumia penalti zote tano kwa ufanisi.

Matokeo ya Mwisho:
FT: Arsenal 1-1 Man United (Manchester United wameshinda kwa penalti 5-3)
⚽ 63’ Gabriel (Arsenal)
⚽ 52’ Bruno Fernandes (Manchester United)
🟥 Dalot (61’)

MATUTA
Arsenal: ✔️❌✔️✔️
Man Utd: ✔️✔️✔️✔️✔️

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *