Michezo Bongo
Simba Kuifuata FC Bravo Kesho Januari 9
Simba Kuifuata FC Bravo Kesho Januari 9 | Simba SC Yawaandaa Wachezaji Wake kwa Safari ya Angola kwa Mchezo Dhidi ya FC Bravo Simba Kuifuata FC Bravo Kesho Januari 9 Kikosi cha Simba SC kimejiandaa kwa safari yake ya kuelekea Angola kwa ajili ya mchezo wao muhimu dhidi ya FC Bravo utakaopigwa Jumapili, Januari 12, […]
Chama Aarejea Mazoezini Baada ya Wiki Tatu za Kuuguza Jeraha
Chama Aarejea Mazoezini Baada ya Wiki Tatu za Kuuguza Jeraha | Clatous Chama Aarejea Mazoezini Baada ya Wiki Tatu za Kuuguza Jeraha, Ajiandaa kwa Mchezo wa Marudiano Dhidi ya Al Hilal Chama Aarejea Mazoezini Baada ya Wiki Tatu za Kuuguza Jeraha Nyota wa Yanga SC, Clatous Chama, amerejea mazoezini baada ya kukosekana kwa muda wa […]
Kilimanjaro Stars Yaaga Kombe la Mapinduzi Baada ya Kipigo
Kilimanjaro Stars Yaaga Kombe la Mapinduzi Baada ya Kipigo cha 2-0 Dhidi ya Kenya Timu ya Taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kupokea kipigo cha pili mfululizo, kikubwa zaidi dhidi ya Kenya, kwa matokeo ya 2-0. Kilimanjaro Stars Yaaga Kombe la Mapinduzi Baada ya Kipigo Kipigo hicho […]
Yao, Nzengeli, Andambwile Kuikosa Al Hilal
Yao, Nzengeli, Andambwile Kuikosa Al Hilal | Wachezaji watakaokosekana dhidi ya Al Hilal tarehe 12 January 2025. Afisa Habari Mkuu wa timu ya Yanga Ali Kamwe amethibitisha kuwa wachezaji watatu muhimu wa timu yake, Maxi Nzengeli, Kouassi Attohoula, na Aziz Andambwile hawatacheza katika mchezo ujao dhidi ya Al Hilal. Yao, Nzengeli, Andambwile Kuikosa Al Hilal […]
Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatano, 8 Januari 2025
Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatano, 8 Januari 2025 | Leo, Jumatano, tarehe 8 Januari 2025, kuna michezo kadhaa ya kuvutia katika ligi mbalimbali duniani. Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatano, 8 Januari 2025 Hapa chini ni orodha kamili ya mechi zinazochezwa leo: 🇹🇷 20:30 – Galatasaray vs Basaksehir (Ligi Kuu ya Uturuki) 🇿🇦 20:30 […]
Messi Apokea Presidential Medal of Freedom kutoka kwa Rais Joe Biden
Messi Apokea Presidential Medal of Freedom kutoka kwa Rais Joe Biden | Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina na mshindi mara 8 wa tuzo ya Ballon d’Or, Lionel Messi, amepokea Presidential Medal of Freedom, ambayo ni heshima ya juu zaidi ya kiraia nchini Marekani. Messi alitunukiwa nishani hiyo na Rais wa Marekani, Joe Biden, […]
Liverpool vs Man U, Mahasimu Wakubwa Kukutana Tena EPL Januari 5
Liverpool vs Man U, Mahasimu Wakubwa Kukutana Tena EPL Januari 5 | Ligi Kuu ya England (EPL) inaendelea leo, Januari 5, 2025, kwa mchezo wa kusisimua kati ya vinara wa ligi, Liverpool, na mahasimu wao wa jadi, Manchester United, katika dimba la Anfield. Liverpool vs Man U, Mahasimu Wakubwa Kukutana Tena EPL Januari 5 Manchester […]
Ratiba ya Michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika Wiki Hii
Ratiba ya Michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika Wiki Hii: Mechi za Pili Hatua ya Maamuzi. Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika yanaendelea wiki hii kwa michezo ya pili katika hatua ya maamuzi. Timu zinapambana kufuzu kwa hatua ya makundi, huku ushindani ukiwa mkali kati ya mabingwa wa mataifa mbalimbali. Ratiba ya Michezo ya Ligi […]
Kikosi cha TP Mazembe Kimewasili kwa Mechi Dhidi ya Yanga
Kikosi cha TP Mazembe Kimewasili kwa Mechi Dhidi ya Yanga | Msafara wa TP Mazembe Wawasili Tanzania kwa Mechi Muhimu Dhidi ya Yanga SC Msafara wa wajumbe 37 wa klabu maarufu ya TP Mazembe, wakiwemo wachezaji 24, umeondoka Lubumbashi kwa ndege ya Air Tanzania kuelekea Dar es Salaam. Safari hiyo ni kwa ajili ya mchezo […]
Djuma Shabani Aagwa Rasmi na Namungo
Djuma Shabani Aagwa Rasmi na Namungo FC Baada ya Kudhumu Tangu Julai 2024 | Beki wa zamani wa Young Africans SC, Djuma Shabani, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), amepewa mkono wa kwaheri na klabu ya Namungo FC. Shabani alijiunga na Namungo FC Julai 2024 kama mchezaji huru baada ya kuondoka Young Africans. […]