Michezo Bongo

Saleh Karabaka Ajiunga na Namungo kwa Mkopo wa Miezi Sita

Filed in Michezo Bongo by on January 3, 2025 0 Comments
Saleh Karabaka Ajiunga na Namungo kwa Mkopo wa Miezi Sita

Saleh Karabaka Ajiunga na Namungo kwa Mkopo wa Miezi Sita | Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Saleh Karabaka, amejiunga na klabu ya Namungo FC kwa mkataba wa mkopo wa muda wa miezi sita. Karabaka alisajiliwa na Simba Januari mwaka huu kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea klabu ya JKU ya Zanzibar. Karabaka alijiunga na Simba […]

Continue Reading »

Mpanzu Aidhinishwa na CAF Atacheza Dhidi ya CS Sfaxien

Filed in Michezo Bongo by on January 3, 2025 0 Comments
Mpanzu Aidhinishwa na CAF Atacheza Dhidi ya CS Sfaxien

Mpanzu Aidhinishwa na CAF Atacheza Dhidi ya CS Sfaxien | Elie Mpanzu Aidhinishwa na CAF kwa Michuano ya Kombe la Shirikisho. Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeidhinisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Elie Mpanzu, kuanza kushiriki rasmi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho. Hii inakuja baada ya kufunguliwa kwa dirisha la usajili […]

Continue Reading »

Josiah Amani Kujiunga na Tanzania Prisons Kama Kocha Mkuu

Filed in Michezo Bongo by on December 31, 2024 0 Comments
Josiah Amani Kujiunga na Tanzania Prisons Kama Kocha Mkuu

Josiah Amani Kujiunga na Tanzania Prisons Kama Kocha Mkuu | Aliyekuwa kocha wa Geita Gold FC, Josiah Amani, amekamilisha taratibu zote za kujiunga na Tanzania Prisons kama kocha mkuu. Josiah Amani Kujiunga na Tanzania Prisons Kama Kocha Mkuu Josiah alitangaza kuachana na klabu ya Geita Gold FC baada ya kufanikisha mazungumzo na uongozi wa Tanzania […]

Continue Reading »

Yanga Yasitisha Usajili wa Beki Laurian Makame

Filed in Michezo Bongo by on December 31, 2024 0 Comments
Yanga Yasitisha Usajili wa Beki Laurian Makame

Yanga Yasitisha Usajili wa Beki Laurian Makame | Klabu ya Yanga SC imeamua kusitisha mpango wa kumsajili beki Laurian Makame kutoka Fountain Gate, licha ya kuwa awali walishakubaliana kila kitu, ikiwemo ada ya usajili. Yanga Yasitisha Usajili wa Beki Laurian Makame Taarifa zinaeleza kuwa hatua hiyo ilifikiwa baada ya kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi […]

Continue Reading »

Kocha wa Geita Gold Augustino Malindi Afungiwa Mechi 16

Filed in Michezo Bongo by on December 31, 2024 0 Comments
Kocha wa Geita Gold Augustino Malindi Afungiwa Mechi 16

Kocha wa Geita Gold Augustino Malindi Afungiwa Mechi 16 | Kocha wa makipa wa timu ya Geita Gold, Augustino Malindi, amekumbwa na adhabu kali kutoka kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kutokana na matukio ya utovu wa nidhamu yaliyotokea wakati wa mchezo kati ya Mbeya City na Geita Gold. Kocha wa Geita Gold […]

Continue Reading »

Yanga Princess Yakamilisha Usajili wa Diana Mnari na Zubeda Mgunda

Filed in Michezo Bongo by on December 31, 2024 0 Comments
Yanga Princess Yakamilisha Usajili wa Diana Mnari na Zubeda Mgunda

Yanga Princess Yakamilisha Usajili wa Diana Mnari na Zubeda Mgunda | Yanga Princess Yajipanga Upya: Diana Mnari na Zubeda Mgunda Waongeza Nguvu Kikosini Yanga Princess imeimarisha kikosi chake kwa msimu ujao kwa kusajili wachezaji wawili wenye uzoefu mkubwa kwenye soka la wanawake nchini Tanzania. Yanga Princess Yakamilisha Usajili wa Diana Mnari na Zubeda Mgunda Miongoni […]

Continue Reading »

Ahmad Ally Kuiongoza Kilimanjaro Stars Mapinduzi Cup

Filed in Michezo Bongo by on December 30, 2024 0 Comments
Ahmad Ally Kuiongoza Kilimanjaro Stars Mapinduzi Cup

Ahmad Ally Kuiongoza Kilimanjaro Stars Mapinduzi Cup | Kilimanjaro Stars, Mapinduzi Cup 2025, Kikosi cha Tanzania Bara, Kocha JKT Tanzania, Mashindano ya Zanzibar. Ahmad Ally Kuiongoza Kilimanjaro Stars Mapinduzi Cup Kocha wa JKT Tanzania FC, Ahmad Ally, ameteuliwa rasmi kuwa kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars. Timu hiyo itashiriki mashindano ya […]

Continue Reading »

Simba na Rekodi ya Kufungwa Magoli Machache Ligi Kuu

Filed in Michezo Bongo by on December 30, 2024 0 Comments
Simba na Rekodi ya Kufungwa Magoli Machache Ligi Kuu

Simba na Rekodi ya Kufungwa Magoli Machache Ligi Kuu | Walinda mlango bora NBC, Rekodi za Ligi Kuu NBC, Timu zilizofungwa mabao machache Tanzania. Simba na Rekodi ya Kufungwa Magoli Machache Ligi Kuu Timu ya Simba SC imeweka rekodi ya kufungwa mabao machache zaidi hadi sasa katika Ligi Kuu ya NBC, ikiwa imefungwa mabao matano […]

Continue Reading »

Bondia Hassan Mgaya Afariki Dunia Baada ya Pambano Jijini Dar es Salaam

Filed in Michezo Bongo by on December 30, 2024 0 Comments
Bondia Hassan Mgaya Afariki Dunia Baada ya Pambano Jijini Dar es Salaam

Bondia Hassan Mgaya Afariki Dunia Baada ya Pambano Jijini Dar es Salaam | Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Tanzania, Hassan Mgaya, amefariki dunia usiku wa Jumapili, Desemba 28, 2024. Kifo chake kimetokea muda mfupi baada ya kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutoka Hospitali ya Mwananyamala. Bondia Hassan Mgaya Afariki Dunia […]

Continue Reading »

Waliomaliza Mwaka Kibabe Kwenye Ufungaji NBC Ligi Kuu

Filed in Michezo Bongo by on December 30, 2024 0 Comments
Waliomaliza Mwaka Kibabe Kwenye Ufungaji NBC Ligi Kuu

Waliomaliza Mwaka Kibabe Kwenye Ufungaji NBC Ligi Kuu | Oroda ya Wafungaji Bora kwa msimu wa 2024/2025. Hadi kuelekea mwaka mpya wa 2025 NBCPL Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara imeshuudia wafungaji wa kila namna kuongoza kwenye mbio hizo ila leo tunakusogezea orodha ya wafungaji walio maliza mwaka kileleni mwa msimamo wa wafungaji bora kwenye […]

Continue Reading »