Michezo Bongo

CAF Yaiadhibu ASC Jaraaf ya Senegal kwa Matukio ya Ghasia

Filed in Michezo Bongo by on December 27, 2024 0 Comments
CAF Yaiadhibu ASC Jaraaf ya Senegal kwa Matukio ya Ghasia

CAF Yaiadhibu ASC Jaraaf ya Senegal kwa Matukio ya Ghasia Dhidi ya USM Alger | Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limetangaza hatua kali dhidi ya klabu ya ASC Jaraaf kutoka Senegal baada ya mashabiki wake kushiriki kwenye matukio ya ghasia dhidi ya klabu ya USM Alger ya Algeria wakati wa mchezo wa Kombe la […]

Continue Reading »

CAF Yaiadhibu CS Sfaxien Tukio Dhidi ya Simba

Filed in Michezo Bongo by on December 27, 2024 0 Comments
CAF Yaiadhibu CS Sfaxien Tukio Dhidi ya Simba

CAF Yaiadhibu CS Sfaxien Tukio Dhidi ya Simba | Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limechukua hatua kali dhidi ya klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia kwa matukio ya ghasia yaliyoibuka wakati wa mchezo wao dhidi ya CS Constantine wa Algeria. Adhabu hiyo ni pamoja na: CAF Yaiadhibu CS Sfaxien Tukio Dhidi ya Simba Faini […]

Continue Reading »

Guinea Yakataliwa Rufaa Dhidi ya Tanzania

Filed in Michezo Bongo by on December 27, 2024 0 Comments
Guinea Yakataliwa Rufaa Dhidi ya Tanzania

Guinea Yakataliwa Rufaa Dhidi ya Tanzania, Ndoto za AFCON 2025 Zafutika | Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imetupilia mbali rufaa ya Guinea dhidi ya Tanzania, hatua inayozima rasmi matumaini ya Guinea kufuzu kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 itakayofanyika nchini Morocco. Guinea Yakataliwa Rufaa Dhidi ya […]

Continue Reading »

Yanga na Zawadi ya Krismasi, Ushindi Mkubwa Dhidi ya Dodoma Jiji

Filed in Michezo Bongo by on December 25, 2024 0 Comments
Yanga na Zawadi ya Krismasi, Ushindi Mkubwa Dhidi ya Dodoma Jiji

Yanga na Zawadi ya Krismasi, Ushindi Mkubwa Dhidi ya Dodoma Jiji | Yanga SC imewapa mashabiki wake zawadi ya Krismasi kwa kuibuka na ushindi wa kishindo wa mabao 4-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Yanga na Zawadi ya Krismasi, Ushindi Mkubwa Dhidi ya […]

Continue Reading »

Ratiba Ligi Kuu NBCTanzania Mzunguko wa 16

Filed in Michezo Bongo by on December 25, 2024 0 Comments
Ratiba Ligi Kuu NBCTanzania Mzunguko wa 16

Ratiba Ligi Kuu NBCTanzania Mzunguko wa 16 | Ratiba ya Wiki ya 16 ya Ligi Kuu NBC 2024/25. Ratiba ya mechi za Wiki ya 16 ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) msimu wa 2024/25. Ratiba hii imeandaliwa kwa tarehe mbalimbali kuanzia Desemba 24 hadi Desemba 29, 2024. Mechi hizi zinatarajiwa kuwa na ushindani […]

Continue Reading »

Singida Black Stars Yapindua Meza Dhidi ya Kengold

Filed in Michezo Bongo by on December 25, 2024 0 Comments
Singida Black Stars Yapindua Meza Dhidi ya Kengold

Singida Black Stars Yapindua Meza Dhidi ya Kengold | Singida Black Stars imeonyesha ujasiri wa hali ya juu baada ya kutoka nyuma na kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Kengold FC katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye uwanja wa CCM Liti, Singida. Ushindi huu unawapa nguvu mpya katika msimamo wa ligi huku […]

Continue Reading »

Simba Kileleni mwa Ligi Kuu Bara Ushindi Dhidi ya JKT Tanzania

Filed in Michezo Bongo by on December 25, 2024 0 Comments
Simba Kileleni mwa Ligi Kuu Bara Ushindi Dhidi ya JKT Tanzania

Simba Kileleni mwa Ligi Kuu Bara Ushindi Dhidi ya JKT Tanzania | Timu ya Simba SC imeendelea kuthibitisha ubora wake kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania. Simba Kileleni mwa Ligi Kuu Bara Ushindi Dhidi ya JKT Tanzania Mchezo huo uliomalizika jioni hii uliwaweka […]

Continue Reading »

Tanzania na Uganda Zafuzu AFCON U-17 2025

Filed in Michezo Bongo by on December 25, 2024 0 Comments
Tanzania na Uganda Zafuzu AFCON U-17 2025

Tanzania na Uganda Zafuzu AFCON U-17 2025 | Ushindi Mkubwa Katika Nusu Fainali CECAFA. Tanzania na Uganda zimefanikiwa kufuzu kuwakilisha Kanda ya CECAFA katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 (AFCON U-17) mwaka 2025, ambayo itafanyika nchini Morocco. Tanzania na Uganda Zafuzu AFCON U-17 2025 Mafanikio haya yamepatikana […]

Continue Reading »

Ratiba Mechi za Makundi Raundi ya 4 CAF Confederation Cup

Filed in Michezo Bongo by on December 22, 2024 0 Comments
Ratiba Mechi za Makundi Raundi ya 4 CAF Confederation Cup

Ratiba Mechi za Makundi Raundi ya 4 CAF Confederation Cup | Michuano ya TotalEnergies CAF Confederation Cup hatua ya makundi ilitoa wikendi nyingine ya kusisimua ya soka huku awamu ya tatu ya mechi ikikamilika huku shindano hilo likifikia nusu yake. Huku makundi yakiwa yamejiweka sawa, kila pointi sasa inahesabika huku vilabu vinatazamia kupata nafasi yao […]

Continue Reading »

CAF Champions League, Ratiba Mechi za Makundi Raundi ya 4

Filed in Michezo Bongo by on December 22, 2024 0 Comments
CAF Champions League, Ratiba Mechi za Makundi Raundi ya 4

CAF Champions League, Ratiba Mechi za Makundi Raundi ya 4 | Raundi ya tatu ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya TotalEnergies ilileta pambano la kusisimua, mchezo wa kuigiza wa marehemu, na ushindi mnono barani kote. Kuanzia ushindi wa kustaajabisha wa Al Hilal mjini Algiers hadi kutawala kwa Esperance Tunis mjini […]

Continue Reading »