Michezo Bongo
Timu Zilizofuzu Robo Fainali CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025
Timu Zilizofuzu Robo Fainali CAF Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 | CAF Champions Michezo ya hatua ya makundi ya Klabu Bingwa barani Afrika inakaribia kufikia tamati huku vilabu mbalimbali vikihangaika kuwania nafasi za kufuzu kwa hatua ya robo fainali. Tayari baadhi ya timu zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele, huku zingine zikisubiri mechi za mwisho kuamua hatima […]
Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025
Timu Zilizofuzu Robo Fainali Kombe La Shirikisho CAF 2024/2025 | Michezo ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika inakaribia kufikia tamati huku vilabu vikubwa barani Afrika vikihangaika kuwania nafasi za kufuzu kwa hatua ya robo fainali. Tayari baadhi ya timu zimejihakikishia nafasi ya kusonga mbele, huku zingine zikitegemea mechi za mwisho ili kuamua […]
Ngassa Kwenye Upangaji wa Droo Makundi ya CHAN 2025 Nairobi
Ngassa Kwenye Upangaji wa Droo Makundi ya CHAN 2025 Nairobi | Mrisho Ngassa, mchezaji maarufu wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, atashiriki kama mmoja wa wachezaji mashuhuri katika droo ya upangaji wa makundi ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za nyumbani (CHAN) itakayofanyika Januari 15, 2025, mjini […]
Yanga Yaomboleza Kifo cha Baba wa Chadrack Boka
Yanga Yaomboleza Kifo cha Baba wa Chadrack Boka | Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga, Chadrack Boka (25) raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), amepata pigo kubwa kufuatia kifo cha baba yake mzazi kilichotokea Januari 11, 2025 nyumbani kwake Kinshasa, DRC. . Kifo cha baba yake kimeacha machungu makubwa kwa familia ya […]
Che Malone Awaomba Radhi Wanasimba
Che Malone Awaomba Radhi Wanasimba | Beki kitasa wa Simba Sc, Che Fondoh Malone (25) almaarufu ‘Ukuta wa Yeriko’ raia wa Cameroon ameomba radhi kwa kosa alilofanya jana kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika lililoigharimu timu hiyo kuruhusu bao la mapema dhidi ya Bravos do Marquis ya Angola. Che Malone Awaomba Radhi Wanasimba “Napenda […]
Yanga Yaongeza Matumaini ya Kufuzu Robo Fainali ya CAFCL
Yanga Yaongeza Matumaini ya Kufuzu Robo Fainali ya CAFCL | Yanga SC Yashinda 1-0 Dhidi ya Al Hilal na Kuongeza Matumaini ya Kufuzu Robo Fainali ya CAFCL Yanga Yaongeza Matumaini ya Kufuzu Robo Fainali ya CAFCL Yanga SC imeendelea kuweka matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) hai, […]
Azam Yamalizana Zidane Mkataba wa Miaka Mitano
Azam Yamalizana Zidane Mkataba wa Miaka Mitano Azam Yamalizana Zidane Mkataba wa Miaka Mitano | Azam FC imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Zidane Sereri kutoka Dodoma Jiji FC. Zidane, 19, amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka mitano na kumfanya aendelee kuitumikia Azam FC hadi 2030. Zidane aliyefanya vyema msimu wa 2024 akiwa na […]
Polisi Tanzania Mbioni Kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara
Polisi Tanzania Mbioni Kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara | Polisi Tanzania wameendelea kuutumia vyema uwanja wao wa nyumbani, Ushirika Moshi, baada ya kuifunga Biashara United mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya mwishoni mwa wiki. Polisi Tanzania Mbioni Kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara Akizungumza baada ya kumalizika kwa mchezo huo, Ofisa Habari wa […]
Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February
Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February Yanga na Gor Mahia Kucheza Mechi ya Kirafiki 22 February | Pambano linalosubiriwa kwa hamu kati ya Gor Mahia na Yanga SC linatarajiwa kupigwa katika uwanja wa Jaramogi Oginga Odinga kaunti ya Siaya. Mabingwa wa Kenya, Gor Mahia watamenyana na miamba ya soka ya Tanzania […]
Simba Yafuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF
Simba Yafuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF Simba Yafuzu Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF | Wawakilishi wa Tanzania kwenye kombe la Shirikisho Afrika, Simba Sc imetinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo kufuatia sare ya 1-1 dhidi ya wenyeji Bravos do Marquis ya Angola katika dimba la Estádio Da Tundavala kwenye mchezo […]