Michezo Bongo
Tanzania Yatolewa kwenye Michuano ya Mapinduzi
Tanzania Yatolewa kwenye Michuano ya Mapinduzi baada ya Kipigo cha 2-0 dhidi ya Burkina Faso. Timu hiyo ilimaliza michuano bila kushinda mechi yoyote wala kufunga goli. Tanzania Yatolewa kwenye Michuano ya Mapinduzi Tanzania imeondolewa kwenye michuano ya Mapinduzi Cup baada ya kupokea kipigo cha 2-0 kutoka kwa Burkina Faso kwenye mechi ya mwisho ya kundi […]
Rayon Sports Yakaribia Kumsajili Bayo Aziz Fahad
USAJILI Rayon Sports Yakaribia Kumsajili Bayo Aziz Fahad | Rayon Sports inakaribia kumsajili mshambuliaji Bayo Aziz Fahad kutoka Uganda, baada ya kushindwa kupata nafasi ya kutosha katika klabu ya MFK Vyškov. Rayon Sports inaongoza Ligi Kuu Rwanda na inategemea nguvu mpya kutoka kwa Fahad. Rayon Sports Yakaribia Kumsajili Bayo Aziz Fahad Rayon Sports ya Rwanda […]
Msimamo wa Kundi la Mapinduzi Cup 2025
Msimamo wa Kundi la Mapinduzi Cup 2025 | Msimamo wa kundi la Tanzania bara Mapinduzi Cup 2025, Msimamo wa kundi la Kilimanjaro Stars Mapinduzi Cup 2025, Msimamo Makundi la Mapinduzi Cup 2025, Msimamo Mapinduzi Cup 2025, Msimamo Wa Kundi Kombe la Mapinduzi 2025,MSIMAMO Mapinduzi Cup 2025 Msimamo wa Kundi la Mapinduzi Cup 2025 Pos Timu […]
Pamba Jiji Yaafikia Makubaliano na Napsa Stars kwa Larry Bwalya
Pamba Jiji Yaafikia Makubaliano na Napsa Stars kwa Larry Bwalya | Klabu ya Pamba Jiji imefikia makubaliano na Napsa Stars ya Zambia kumsajili kiungo mkabaji Larry Bwalya kwa mkopo wa miezi sita. Pamba Jiji Yaafikia Makubaliano na Napsa Stars kwa Larry Bwalya Mkataba huo pia una kipengele cha kusaini moja kwa moja, hivyo Pamba Jiji […]
Yanga Yainasa Saini ya Winga Jonathan Ikangalombo
Yanga Yainasa Saini ya Winga Jonathan Ikangalombo USAJILI Yanga Yainasa Saini ya Winga Jonathan Ikangalombo | Baada ya mazungumzo ya muda mrefu kati ya Yanga na klabu ya Vita Club, hatimaye Yanga wamefanikiwa kumsajili winga Jonathan Ikangalombo Kapela (22) kwa mkataba wa miaka miwili. Rais wa Vita Club, Amadou Diaby, amekubali kumuachia winga huyo mwenye […]
Kocha Fadlu Amtaka Kiungo Mkabaji Moussa Conte wa CS Sfaxien
Kocha Fadlu Amtaka Kiungo Mkabaji Moussa Conte wa CS Sfaxien | Taarifa za ndani kutoka Simba SC zimeeleza kuwa kocha Fadlu Davids anavutiwa sana na uwezo wa kiungo mshambuliaji wa CS Sfaxien Balla Moussa Conte na anajipanga kumleta katika timu yake. Kocha Fadlu Amtaka Kiungo Mkabaji Moussa Conte wa CS Sfaxien Chanzo cha ndani kinadai […]
AmaZulu Yaonyesha Nia ya Kumsajili Kibu Denis
AmaZulu Yaonyesha Nia ya Kumsajili Kibu Denis | AmaZulu wanaonyesha kumtaka mshambuliaji wa Simba SC, Kibu Denis AmaZulu Yaonyesha Nia ya Kumsajili Kibu Denis Klabu ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, AmaZulu FC, imetuma ofa kwa Simba SC kumsajili mshambuliaji wake, Kibu Denis (26). AmaZulu limesema limefanya mazungumzo na Wekundu hao wa Msimbazi kuhusu usajili […]
Azam Yamaliza Usajili wa Beki Zouzou Landry Kutoka Ivory Coast
Azam Yamaliza Usajili wa Beki Zouzou Landry Kutoka Ivory Coast USAJILI: Azam Yamaliza Usajili wa Beki Zouzou Landry Kutoka Ivory Coast | Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa beki mpya, Zouzou Landry, kutoka klabu ya AFAD Djekanou ya Ivory Coast. Zouzou, mwenye umri wa miaka 23, ambaye anajua kucheza nafasi za beki ya kati […]
Wydad Yatuma Ofa Kwa Yanga, Wamuitaji Aziz Ki na Mzize
Wydad Yatuma Ofa Kwa Yanga, Wamuitaji Aziz Ki na Mzize | Wydad Athletic Karibia Kuongeza Wachezaji Wawili kutoka Yanga, Klabu Yatoa Madai ya Dola 800,000 Kila Mmoja Klabu ya Wydad Athletic imekaribia tena kufanya mazungumzo na Yanga kuhusu wachezaji wawili muhimu, Clement Mzize na Stephane Aziz Ki. Yanga imeweka wazi kuwa itakuwa tayari kusikiliza ofa […]
Azam Yatuma Wachezaji Wanne katika Klabu ya AIK ya Sweden
Azam Yatuma Wachezaji Wanne katika Klabu ya AIK ya Sweden Azam Yatuma Wachezaji Wanne katika Klabu ya AIK ya Sweden | Klabu ya Azam FC imetuma wachezaji wake wanne mahiri katika Klabu ya AIK ya nchini Sweden ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya ushirikiano unaolenga kuwaendeleza zaidi. Wachezaji hao, Pius Severine, Ismail Omar, Adinani Rashid, […]