Michezo Bongo
Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatano, 8 Januari 2025
Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatano, 8 Januari 2025 | Leo, Jumatano, tarehe 8 Januari 2025, kuna michezo kadhaa ya kuvutia katika ligi mbalimbali duniani. Ratiba ya Michezo ya Leo Jumatano, 8 Januari 2025 Hapa chini ni orodha kamili ya mechi zinazochezwa leo: 🇹🇷 20:30 – Galatasaray vs Basaksehir (Ligi Kuu ya Uturuki) 🇿🇦 20:30 […]
Messi Apokea Presidential Medal of Freedom kutoka kwa Rais Joe Biden
Messi Apokea Presidential Medal of Freedom kutoka kwa Rais Joe Biden | Nahodha wa timu ya taifa ya Argentina na mshindi mara 8 wa tuzo ya Ballon d’Or, Lionel Messi, amepokea Presidential Medal of Freedom, ambayo ni heshima ya juu zaidi ya kiraia nchini Marekani. Messi alitunukiwa nishani hiyo na Rais wa Marekani, Joe Biden, […]
Liverpool vs Man U, Mahasimu Wakubwa Kukutana Tena EPL Januari 5
Liverpool vs Man U, Mahasimu Wakubwa Kukutana Tena EPL Januari 5 | Ligi Kuu ya England (EPL) inaendelea leo, Januari 5, 2025, kwa mchezo wa kusisimua kati ya vinara wa ligi, Liverpool, na mahasimu wao wa jadi, Manchester United, katika dimba la Anfield. Liverpool vs Man U, Mahasimu Wakubwa Kukutana Tena EPL Januari 5 Manchester […]
Ratiba ya Michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika Wiki Hii
Ratiba ya Michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika Wiki Hii: Mechi za Pili Hatua ya Maamuzi. Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika yanaendelea wiki hii kwa michezo ya pili katika hatua ya maamuzi. Timu zinapambana kufuzu kwa hatua ya makundi, huku ushindani ukiwa mkali kati ya mabingwa wa mataifa mbalimbali. Ratiba ya Michezo ya Ligi […]
Kikosi cha TP Mazembe Kimewasili kwa Mechi Dhidi ya Yanga
Kikosi cha TP Mazembe Kimewasili kwa Mechi Dhidi ya Yanga | Msafara wa TP Mazembe Wawasili Tanzania kwa Mechi Muhimu Dhidi ya Yanga SC Msafara wa wajumbe 37 wa klabu maarufu ya TP Mazembe, wakiwemo wachezaji 24, umeondoka Lubumbashi kwa ndege ya Air Tanzania kuelekea Dar es Salaam. Safari hiyo ni kwa ajili ya mchezo […]
Djuma Shabani Aagwa Rasmi na Namungo
Djuma Shabani Aagwa Rasmi na Namungo FC Baada ya Kudhumu Tangu Julai 2024 | Beki wa zamani wa Young Africans SC, Djuma Shabani, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), amepewa mkono wa kwaheri na klabu ya Namungo FC. Shabani alijiunga na Namungo FC Julai 2024 kama mchezaji huru baada ya kuondoka Young Africans. […]
Saleh Karabaka Ajiunga na Namungo kwa Mkopo wa Miezi Sita
Saleh Karabaka Ajiunga na Namungo kwa Mkopo wa Miezi Sita | Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Saleh Karabaka, amejiunga na klabu ya Namungo FC kwa mkataba wa mkopo wa muda wa miezi sita. Karabaka alisajiliwa na Simba Januari mwaka huu kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea klabu ya JKU ya Zanzibar. Karabaka alijiunga na Simba […]
Mpanzu Aidhinishwa na CAF Atacheza Dhidi ya CS Sfaxien
Mpanzu Aidhinishwa na CAF Atacheza Dhidi ya CS Sfaxien | Elie Mpanzu Aidhinishwa na CAF kwa Michuano ya Kombe la Shirikisho. Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeidhinisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Elie Mpanzu, kuanza kushiriki rasmi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho. Hii inakuja baada ya kufunguliwa kwa dirisha la usajili […]
Josiah Amani Kujiunga na Tanzania Prisons Kama Kocha Mkuu
Josiah Amani Kujiunga na Tanzania Prisons Kama Kocha Mkuu | Aliyekuwa kocha wa Geita Gold FC, Josiah Amani, amekamilisha taratibu zote za kujiunga na Tanzania Prisons kama kocha mkuu. Josiah Amani Kujiunga na Tanzania Prisons Kama Kocha Mkuu Josiah alitangaza kuachana na klabu ya Geita Gold FC baada ya kufanikisha mazungumzo na uongozi wa Tanzania […]
Yanga Yasitisha Usajili wa Beki Laurian Makame
Yanga Yasitisha Usajili wa Beki Laurian Makame | Klabu ya Yanga SC imeamua kusitisha mpango wa kumsajili beki Laurian Makame kutoka Fountain Gate, licha ya kuwa awali walishakubaliana kila kitu, ikiwemo ada ya usajili. Yanga Yasitisha Usajili wa Beki Laurian Makame Taarifa zinaeleza kuwa hatua hiyo ilifikiwa baada ya kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi […]