MSIMAMO Ligi Kuu Wanawake Tanzania TWPL 2024/2025

Filed in Michezo Bongo by on December 23, 2024 0 Comments

MSIMAMO Ligi Kuu Wanawake Tanzania TWPL 2024/2025 | Msimamo wa Ligi ya Wanawake Tanzania (Mzunguko wa 7) 2024

Katika hatua ya mzunguko wa 7 wa Ligi ya Wanawake Tanzania, Simba Queens inaongoza msimamo wa ligi kwa alama 19, ikifuatiwa na JKT Queens wenye alama 17. Timu hizi zinaonyesha ushindani mkali huku nafasi ya ubingwa ikionekana wazi kuwa kati yao.

Mashindano haya yamejumuisha timu 10 ambapo baadhi zinaonyesha uwezo mkubwa, huku zingine zikiwa kwenye hatari ya kushuka daraja. Hali ya timu zote ni kama ifuatavyo:

MSIMAMO Ligi Kuu Wanawake Tanzania TWPL 2024/2025

MSIMAMO Ligi Kuu Wanawake Tanzania TWPL 2024/2025

MSIMAMO Ligi Kuu Wanawake Tanzania TWPL 2024/2025

NO TEAMS P W D L GF GA GD PTS
1 Simba Queens 7 6 1 0 20 5 15 19
2 JKT Queens 7 5 2 0 22 3 19 17
3 Yanga Princess 7 2 3 2 8 8 0 9
4 Mashujaa Queens 7 2 3 2 8 8 0 9
5 Alliance Girls 7 2 2 3 12 10 2 8
6 Fountain Gate Princess 6 2 0 4 7 9 -2 6
7 Gets Program 5 1 1 3 4 7 -3 4
8 Bunda Queens 6 1 1 4 3 6 -3 4
9 CEASIAA Queens 5 2 0 3 5 15 -10 6
10 Mlandizi Queens 7 0 0 7 5 25 -20 0

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *