Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania NBC 2024-2025 PREMIER LEAGUE

Filed in Michezo Bongo by on February 11, 2025 0 Comments

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania NBC 2024-2025 PREMIER LEAGUE | Msimu wa 2023/2024 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania umekamilika kwa kishindo, Yanga SC wakiibuka mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo.

Wanajangwani hao walimaliza kileleni mwa msimamo wakiwa na pointi 80 baada ya kucheza mechi 30, wakishinda mechi 26, wakitoa sare mbili, na kupoteza mbili pekee.

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania NBC 2024-2025 PREMIER LEAGUE, Azam FC na Simba SC walimaliza nafasi ya pili na ya tatu mtawalia, zote zikiwa na pointi 69, huku Azam FC ikiwazidi Simba kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania NBC 2024-2025 PREMIER LEAGUE

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania NBC 2024-2025 PREMIER LEAGUE

Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania NBC 2024-2025 PREMIER LEAGUE

NBC PREMIER LEAGUE 2024/2025 STANDING

Pos

Club P W D L GF GA GD Pts
1 Simba 18 15 2 1 38 6 32 47
2 Young Africans 18 15 1 2 42 7 35 46
3 Azam 18 12 3 3 27 9 18 39
4 Singida BS 18 9 4 5 24 15 9 31
5 Tabora UTD 17 8 4 5 21 23 -2 28
6 Coastal Union 18 5 7 6 18 18 0 22
7 KMC 18 6 4 8 13 23 -10 22
8 Fountain Gate 18 6 3 9 25 35 -10 21
9 Mashujaa 18 4 8 6 15 16 -1 20
10 JKT Tanzania 18 4 8 6 11 14 -3 20
11 Dodoma Jiji 18 5 5 8 18 24 -6 20
12 Tanzania Prisons 18 5 5 8 9 21 -12 20
13 Pamba Jiji 18 4 6 8 9 16 -7 18
14 Namungo 18 5 3 10 14 23 -9 18
15 Kagera Sugar 17 2 6 9 12 25 -13 12
16 KenGold 18 2 3 13 14 35 -21 9

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *