Orodha Mpya ya Ligi 20 Bora za Soka Barani Afrika
Orodha Mpya ya Ligi 20 Bora za Soka Barani Afrika | Ligi Bora za Afrika: Top 20 za Karibuni Zatangazwa!
Orodha Mpya ya Ligi 20 Bora za Soka Barani Afrika
Orodha ya ligi za soka barani Afrika imejumuisha nchi nyingi zinazozingatiwa kuwa na kiwango cha juu cha ushindani na ubora. Ligi kuu ya Misri inashikilia nafasi ya kwanza, ikifuatiwa na ligi ya Morocco na Algeria, zinazojivunia timu za kiwango cha juu na mafanikio kwenye michuano ya kimataifa.
Orodha Kamili ya Ligi Bora 20 za Afrika:
1. Egypt
2. Morocco
3. Algeria
4. South Africa
5. Tunisia
6. Tanzania
7. Angola
8. DR Congo
9. Sudan
10. Ivory Coast
11. Libya
12. Mali
13. Nigeria
14. Ghana
15. Guinea
16. Botswana
17. Senegal
18. Mauritania
19. Congo
20. Cameroon
Ligi kuu ya Tanzania inashika nafasi ya sita, ikiwa ni ishara ya maendeleo ya haraka na ushindani mkubwa wa soka nchini.
Pendekezo La Mhariri: