Orodha ya Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025

Filed in Michezo Bongo by on February 7, 2025 0 Comments

Orodha ya Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025 | Msimu wa Ligi Kuu ya NBC wa 2024/2025 unaendelea kushika kasi, huku wachezaji wakionyesha uwezo wao wa kusaidia katika upachikaji mabao. Katika kipengele cha pasi za mwisho, kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Feitoto’ anaongoza kwa kutoa asisti 10 hadi sasa.

Orodha ya Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025

Wachezaji Bora kwa Assist Ligi Kuu ya NBC 2024/2025

Orodha ya Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025

Orodha ya Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025

1️⃣ Feisal Salum – assist 10
2️⃣ Aziz Ki – asisti 7
3️⃣ Salum Kihimbwa – assist 5
4️⃣ Jean Ahoua – asisti 5
5️⃣ Arthur Bada – assist 4
6️⃣ Pacome Zouzoua – assist 4
7️⃣ Chasambi – assist 4
8️⃣ Prince Dube – assist 4

Feisal Salum ameendelea kuwa mhimili wa safu ya ushambuliaji ya Azam FC, huku kiungo wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki akifuatia kwa karibu kwa kutoa pasi 7. Msimu bado unaendelea na mashabiki wanatarajia ushindani mkali zaidi wa kuwania nafasi ya juu kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *