Yanga SC Yatimiza Miaka 90 na Mafanikio Makubwa Soka la Tanzania | Young Africans SC (Yanga SC) moja ya timu kongwe na yenye mafanikio makubwa Tanzania imetimiza miaka 90 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1935. Katika kipindi hiki cha takriban karne moja, Yanga SC imeweka historia ya kuwa klabu yenye mafanikio makubwa zaidi nchini, kwa kutwaa […]
Real Madrid Yashinda kwa Kishindo Dhidi ya Manchester City Etihad | Real Madrid imeonyesha ubabe wake kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Manchester City katika dimba la Etihad. Ushindi huu unaiweka Los Blancos katika nafasi nzuri kuelekea hatua ya 16 bora ya mashindano hayo makubwa barani Ulaya. Real […]
Abdelhak Benchikha Karibu Kujiunga na Modern Future FC ya Misri | Baada ya kuondoka JS Kabylie Januari 2025, kocha mwenye uzoefu wa Algeria, Abdelhak Benchikha atajiunga na timu ya Ligi Kuu ya Misri, Modern Future FC. Benchikha Karibu Kujiunga na Modern Future FC ya Misri Benchikha ambaye amezifundisha timu kadhaa nje ya Algeria zikiwemo klabu […]
Pamba Jiji Inatumia Milioni 70 Kwa Mwezi Kulipa Mishahara ya Wachezaji Pamba Jiji Inatumia Milioni 70 Kwa Mwezi Kulipa Mishahara ya Wachezaji | Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda ameweka wazi kuwa Pamba Jiji FC inatumia Sh milioni 70 kila mwezi kulipa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi. Kiwango hiki cha ufadhili […]
Guirassy Ang’ara na Dortmund Michezo wa Mtoano UEFA | Serhou Guirassy aliendeleza kampeni yake ya ajabu ya Ligi ya Mabingwa kwa kufunga bao lake la 10 msimu huu huku Borussia Dortmund wakipata ushindi mnono wa 3-0 dhidi ya Sporting katika mkondo wa kwanza wa mchujo wa hatua ya mtoano. Guirassy Ang’ara na Dortmund Michezo wa […]
Mechi ya Dodoma Jiji Dhidi ya Simba Feb 15 Yafutwa | Dodoma Jiji FC inarejea Dodoma baada ya ajali na mechi dhidi ya Simba kufutwa. Mechi ya Dodoma Jiji Dhidi ya Simba Feb 15 Yafutwa Timu ya Dodoma Jiji FC imefanikiwa kurejea Dodoma leo tarehe 12 Februari 2025 baada ya kupata ajali mkoani Lindi. Timu […]
Top Assist Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025 | Msimu huu, viungo mahiri na washambuliaji kutoka klabu mbalimbali za Simba, Yanga, Azam FC na nyinginezo wamepania kutengeneza nafasi muhimu za mabao. Hapa utapata takwimu, uchambuzi wa mbinu za baadhi ya wachezaji mahiri na jinsi wanavyochangia katika mafanikio ya timu zao. Fuata hapa ili […]
Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025 | Top Scores NBC premier League 2024/25, wanaoongoza NBC-tutaangalia orodha ya wachezaji wanao ongoza kuwa na Magoli mengi kwenye msimu wa ligi kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na benki Ya NBC. Wafungaji Bora Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2024/2025 NBC PREMIER LEAGUE SCORERS Rank Player Club […]
Msanii Phina Atangaza Kuachana na Meneja Wake D Fighter Baada ya Miaka 3. Msanii Phina Atangaza Kuachana na Meneja Wake D Fighter Msanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Phina, ametangaza rasmi kuachana na aliyekuwa meneja wake, D Fighter, baada ya kufanya kazi pamoja kwa takribani miaka mitatu. Phina alitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake […]
Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania NBC 2024-2025 PREMIER LEAGUE | Msimu wa 2023/2024 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania umekamilika kwa kishindo, Yanga SC wakiibuka mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo. Wanajangwani hao walimaliza kileleni mwa msimamo wakiwa na pointi 80 baada ya kucheza mechi 30, wakishinda mechi 26, wakitoa sare mbili, na kupoteza mbili […]