Recent Articles

Ratiba ya Mechi za Wiki ya 18 Ligi Kuu NBC 2024/25

Filed in Michezo Bongo by on February 10, 2025 0 Comments
Ratiba ya Mechi za Wiki ya 18 Ligi Kuu NBC 2024/25

Ratiba ya Mechi za Wiki ya 18 Ligi Kuu NBC 2024/25 | Ratiba ya Wiki ya 18 ya Ligi Kuu ya NBC 2024/25 inaonyesha mechi mbalimbali zitakazochezwa kati ya Februari 9 na 11, 2025, kwenye viwanja tofauti nchini Tanzania. Ratiba ya Mechi za Wiki ya 18 Ligi Kuu NBC 2024/25 Ratiba kamili ni kama ifuatavyo: […]

Continue Reading »

Droo ya Nusu Fainali ya Copa del Rey 2025

Filed in Michezo Mambele by on February 8, 2025 0 Comments
Droo ya Nusu Fainali ya Copa del Rey 2025

Droo ya Nusu Fainali ya Copa del Rey 2025 | Ratiba ya Mechi za Nusu Fainali ya Copa del Rey 2025. Droo ya nusu fainali ya Copa del Rey ni lini na Barcelona itakutana na nani? Barcelona ilifuzu kwa nusu fainali ya Copa del Rey ya msimu huu baada ya kuwalaza Valencia 5-0 uwanjani Mestalla […]

Continue Reading »

Sowah Aanza Kufumania Nyavu Singida Black Stars

Filed in Michezo Bongo by on February 8, 2025 0 Comments
Sowah Aanza Kufumania Nyavu Singida Black Stars

Sowah Aanza Kufumania Nyavu Singida Black Stars | Jonathan Sowah akianza kuzifumania nyavu huku Singida Black Stars wakitoka sare na Kagera Sugar. Sowah Aanza Kufumania Nyavu Singida Black Stars MSHAMBULIAJI wa timu ya Black Stars ya Singida, Jonathan Sowah ameanza rasmi kufunga mabao katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuifungia timu yake bao […]

Continue Reading »

Maguire Aiokoa Man United Dhidi ya Leicester City

Filed in Michezo Bongo by on February 8, 2025 0 Comments
Maguire Aiokoa Man United Dhidi ya Leicester City

Maguire Aiokoa Man United Dhidi ya Leicester City | Manchester United imefuzu kwa raundi ya tano ya Kombe la FA baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Leicester City katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford. Bao la dakika za lala salama kutoka kwa Harry Maguire lilihakikisha kwamba Mashetani Wekundu walipiga hatua […]

Continue Reading »

Rodri Ajumuishwa Kikosini Hatua ya Mtoano ya UEFA

Filed in Michezo Mambele by on February 7, 2025 0 Comments
Rodri Ajumuishwa Kikosini Hatua ya Mtoano ya UEFA

Rodri Ajumuishwa Kikosini Hatua ya Mtoano ya UEFA | Rodri anarejea kwenye kikosi cha Manchester City kwa ajili ya hatua ya 16 bora ya UEFA Champions League Kiungo nyota wa Manchester City Rodri amejumuishwa rasmi kwenye kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya michuano ya UEFA Champions League hatua ya 16 bora. Mbali na Rodri, […]

Continue Reading »

Ratiba Hatua ya 32 Bora ya CRDB Federation Cup 2024/2025

Filed in Michezo Bongo by on February 7, 2025 0 Comments
Ratiba Hatua ya 32 Bora ya CRDB Federation Cup 2024/2025

Ratiba Hatua ya 32 Bora ya CRDB Federation Cup 2024/2025 | RATIBA KOMBE LA SHIRIKISHO CRDB HATUA YA 32 BORA 2024-25. Droo ya hatua ya 32 Bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB 2024/2025 imefanyika rasmi, ambapo mabingwa watetezi, Yanga SC, watamenyana na Coastal Union. Simba SC itamenyana na TMA Stars, wakati Azam FC itamenyana […]

Continue Reading »

Orodha ya Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025

Filed in Michezo Bongo by on February 7, 2025 0 Comments
Orodha ya Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025

Orodha ya Vinara wa Assist NBC Premier League 2024/2025 | Msimu wa Ligi Kuu ya NBC wa 2024/2025 unaendelea kushika kasi, huku wachezaji wakionyesha uwezo wao wa kusaidia katika upachikaji mabao. Katika kipengele cha pasi za mwisho, kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Feitoto’ anaongoza kwa kutoa asisti 10 hadi sasa. Orodha ya Vinara wa […]

Continue Reading »

Klabu za EPL Zatumia Pauni Bilioni 2 Usajili wa Msimu wa 2024/25

Filed in Michezo Mambele by on February 7, 2025 0 Comments
Klabu za EPL Zatumia Pauni Bilioni 2 Usajili wa Msimu wa 2024/25

Klabu za EPL Zatumia Pauni Bilioni 2 Usajili wa Msimu wa 2024/25 | Dirisha la uhamisho la Januari 2025 limefungwa rasmi na klabu za Premier League zimeripotiwa kutumia jumla ya pauni bilioni 2 (Tsh. 6.3 trilioni) katika madirisha mawili ya uhamisho wa msimu wa 2024/25. Miongoni mwa klabu zinazoongoza kwa matumizi makubwa ni pamoja na […]

Continue Reading »

Droo ya CRDB Federation Cup, Yanga vs Coastal Union

Filed in Michezo Bongo by on February 7, 2025 0 Comments
Droo ya CRDB Federation Cup, Yanga vs Coastal Union

Droo ya CRDB Federation Cup, Yanga vs Coastal Union | MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho la CRDB, Young Africans SC (Yanga SC) wanatarajia kuanza kampeni ya kutetea taji hilo kwa kuwakaribisha Coastal Union katika hatua ya 32 bora ya michuano hiyo. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa mapema Machi 2025. Ratiba ya Kombe la Shirikisho la […]

Continue Reading »

Ratiba ya Mechi za Kombe la Shirikisho la CRDB 2024-2025

Filed in Michezo Bongo by on February 7, 2025 0 Comments
Ratiba ya Mechi za Kombe la Shirikisho la CRDB 2024-2025

Ratiba ya Mechi za Kombe la Shirikisho la CRDB 2024-2025 | Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 Ratiba ya Mechi za Kombe la Shirikisho la CRDB 2024-2025 Hizi ndio mechi za hatua ya 32 ya michuano ya CRDB Federation Cup zitakazochezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Machi 2025. Cosmopolitan vs KMC FC Mbeya Kwanza vs […]

Continue Reading »