Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 | Ratiba ya Mechi za Kombe la Shirikisho la CRDB 2024/2025 Ratiba ya CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 Hizi ndio mechi za hatua ya 32 ya michuano ya CRDB Federation Cup zitakazochezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Machi 2025. Cosmopolitan vs KMC FC Mbeya Kwanza vs Mambali Ushirikiano Tanzania […]
Ramos Ajiunga na Monterrey ya Mexico kwa Uhamisho Huru | Nyota wa zamani wa Real Madrid na Uhispania Sergio Ramos amejiunga na klabu ya Mexico ya Monterrey kwa uhamisho wa bure. Ramos Ajiunga na Monterrey ya Mexico kwa Uhamisho Huru Ramos (38), ambaye alishinda Kombe la Dunia la 2010 akiwa na Uhispania, amekuwa mchezaji huru […]
FIFA Yaifungia Congo Brazzaville Kushiriki Mashindano Yote ya Soka | SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) limetangaza kufungiwa kwa Shirikisho la Soka la Kongo Brazzaville (FECOFOOT), ikimaanisha kuwa timu ya taifa ya Kongo na vilabu vyake vimepigwa marufuku kushiriki mashindano ya kimataifa hadi itakapotangazwa tena. FIFA Yaifungia Congo Brazzaville Kushiriki Mashindano Yote ya Soka Kwa […]
Liverpool Yatinga Fainali ya Carabao Cup Yaichapa Tottenham 4-0 | Liverpool wamefuzu kwa fainali ya Kombe la Carabao (EFL Cup) baada ya kupata ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Tottenham katika mchezo wa mkondo wa pili wa nusu fainali, hivyo kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1. Liverpool Yatinga Fainali ya Carabao […]
FIFA Yasimamisha Shirikisho la Soka la Pakistani PFF Kwa Mara Nyingine | Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesimamisha tena Shirikisho la Soka la Pakistani (PFF) baada ya bunge la PFF kushindwa kupitisha marekebisho yaliyopendekezwa na FIFA kwenye katiba ya shirikisho hilo. FIFA Yasimamisha Shirikisho la Soka la Pakistani PFF Kwa Mara Nyingine Kwa mujibu wa […]
Twiga Stars vs Equatorial Guinea Kufuzu WAFCON 2026 | Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, itamenyana na Equatorial Guinea katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika kwa wanawake (WAFCON) 2026 Mechi hizo mbili za awamu hii zitachezwa kwa tarehe tofauti jambo ambalo lina umuhimu mkubwa kwa Twiga […]
Marcelo Atangaza Kustaafu Soka Akiwa na Umri wa Miaka 36 | Nyota wa zamani wa Real Madrid, Marcelo Vieira da Silva JĂșnior, maarufu kama Marcelo, ametangaza rasmi kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 36. Marcelo Atangaza Kustaafu Soka Akiwa na Umri wa Miaka 36 Kupitia ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Marcelo […]
Simba Yazuiwa na Fountain Gate, Mechi Yaisha Kwa Sare Babati | Simba SC imekutana na matokeo yasiyoridhisha baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Fountain Gate FC kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati. Mechi hiyo ilikuwa na upinzani mkali na wenyeji walimaliza wakiwa na wachezaji 10 baada ya mlinda mlango wao, John Noble, […]
Scorchers ya Malawi Yafuzu Raundi ya Pili ya Kufuzu WAFCON 2026 Bila Kucheza | Timu ya Taifa ya Wanawake ya Malawi, maarufu kwa jina la The Scorchers, imefanikiwa kufuzu moja kwa moja kwa awamu inayofuata ya kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON) 2026. Haya yanajiri baada ya Timu ya Taifa ya […]
US Monastir Yamtangaza Faouzi Benzarti Kama Kocha Mpya | US Monastir imetangaza rasmi kumteua Faouzi Benzarti raia wa Tunisia kuwa kocha mpya wa timu hiyo. US Monastir Yamtangaza Faouzi Benzarti Kama Kocha Mpya Benzarti, ambaye ana uzoefu mkubwa wa soka, anajiunga na klabu kuchukua nafasi ya Mohamed Sahli, ambaye alitimuliwa Februari 4, 2025. Kocha Faouzi […]