Wanne kutoka Academy ya Fountain Gate Wajiunga na Vihiga Sportiff | Katika hatua muhimu ya maendeleo katika soka eneo la Afrika Mashariki, wachezaji wanne wenye vipaji kutoka Academy ya Fountain Gate FC ya Tanzania wamejiunga rasmi na klabu ya Vihiga Sportiff FC ya Kenya. Usajili huu unaonyesha ushirikiano mzuri kati ya vilabu hivi na kuakisi […]
Kikosi cha Tabora United 2025 Ligi Kuu NBC | Kitayosce ni klabu ya soka yenye maskani yake mjini Tabora, mji mkuu wa Mkoa wa Tabora nchini Tanzania. Timu hiyo inashiriki michuano ya Tanzania. Klabu ya soka ya Kilimanjaro Talented Youth Sports Centre (Kitayosce) ilianzishwa Ruangwa, mojawapo ya wilaya sita za Mkoa wa Lindi, . Baadaye […]
Lewandowski na Historia ya Mabao na Mafanikio Katika Soka | Rekodi ya Robert Lewandowski: Mabao 681 na Mafanikio Yake Katika Soka ya Klabu na Taifa. Lewandowski ameonyesha uwezo mkubwa wa kufunga mabao na kutoa pasi za mabao katika kila hatua ya maisha yake. Alikuja kilele chake akiwa Bayern Munich, ambapo alifunga mabao 344 katika mechi […]
Kikosi Bora cha Wiki ya UEFA Mechi za Mzunguko wa 8 | Hii hapa orodha ya wachezaji waliounda kikosi bora cha wiki ya UEFA, kilichojumuisha nyota waliotoa mchango mkubwa katika mechi zao: Kikosi hiki kinajumuisha wachezaji kutoka vilabu vikubwa barani Ulaya kama Real Madrid, PSG, Inter Milan, na Barcelona. Kila mchezaji alichaguliwa kutokana na uwezo […]
Msimamo Ligi ya Wanawake Tanzania Bara 2024/2025 | Huu hapa ni msimamo wa Ligi ya Wanawake Tanzania Bara kwa mzunguko wa 11 wa msimu wa 2024/2025 Simba Queens Yaendelea Kung’ara: Simba Queens wanaongoza msimamo wa ligi wakiwa na pointi 31 baada ya kucheza michezo 11 bila kufungwa hata mmoja. JKT Queens wapo nafasi ya pili […]
Singida Black Stars Kumezidi Kuchangamka | Singida Black Stars Yatoa Siku 14 kwa Gor Mahia Kulipa USD 40,000 ya Rooney Onyango, Singida Black Stars Wamaliza Kambi Arusha, Wajipanga kwa Mechi Dhidi ya Kagera Sugar Februari 7. Singida Black Stars Kumezidi Kuchangamka Singida Black Stars yaipa Gor Mahia siku 14 kulipa USD 40,000 Klabu ya Singida […]
Gamondi Ateuliwa Kuwa Kocha Mkuu wa Al Nasr ya Libya | Miguel Ángel Gamondi amekubali rasmi nafasi ya ukocha wa Al Nasr, moja ya timu muhimu zaidi nchini Libya. Gamondi amesaini mkataba utakaodumu hadi mwisho wa msimu wa 2024/2025, huku kukiwa na kipengele cha kuuongeza kwa mwaka mwingine kulingana na kiwango chake akiwa na timu. […]
Pyramids Yapigwa Faini kwa Kadi 6 Dhidi ya Al Ahly | Faini ya Pauni 50,000 Pyramids Yapigwa Faini kwa Kadi 6 Dhidi ya Al Ahly Pyramids FC imepata pigo baada ya kutozwa faini ya pauni 50,000 za Misri kwa utovu wa nidhamu wakati wa sare ya 2-2 na Al Ahly. Adhabu hiyo imekuja baada ya […]
Yanga Kuwauza Mzize na Azizi Ki Mwisho wa Msimu 2024/2025 | Klabu ya Yanga SC imefikia makubaliano ya kuwaachia nyota wake Clement Mzize na Azizi Ki mwishoni mwa msimu wa 2024/2025. Yanga Kuwauza Mzize na Azizi Ki Mwisho wa Msimu 2024/2025 Uamuzi huu umetangazwa rasmi na klabu hiyo huku ikiwahakikishia wachezaji hao kuwa wataruhusiwa kuondoka […]
Fahamu Jinsi Mechi za Mtoano za UEFA zitakavyo Chezwa | KNOCKOUT PLAY-OFF UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2024/25. Ratiba Rasmi ya Knockout Play-Off UEFA Champions League 2024/25. Fahamu Jinsi Mechi za Mtoano za UEFA zitakavyo Chezwa Ratiba ya michezo ya Knockout Play-Off ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) msimu wa 2024/25. Ratiba imegawanyika katika makundi […]