Yanga Yazidi Kujikita Kileleni Baada ya Ushindi Dhidi ya Singida Black Stars | Yanga SC imeendelea kujiimarisha kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex. Yanga Yazidi Kujikita Kileleni Baada ya Ushindi Dhidi ya […]
Ruben Amorim Akiri Ugumu Man U Baada ya Kupoteza Dhidi ya Tottenham | Meneja wa Manchester United Ruben Amorim amesema kibarua chake katika klabu hiyo ni “kigumu sana” kufuatia kipigo cha 1-0 kutoka kwa Tottenham Hotspur kwenye Ligi ya Premia. Ruben Amorim Akiri Ugumu Man U Baada ya Kupoteza Dhidi ya Tottenham Tottenham iliifunga Manchester […]
Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025 Kombe la Shirikisho la CRDB Tanzania Bara. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa ratiba rasmi ya raundi ya nne ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara (CRDB federation cup). Mechi hizi zitachezwa kuanzia tarehe 2 Machi 2025 hadi 12 Machi 2025, huku mashabiki wakitarajia burudani kali […]
Robertinho Aomba Nafasi ya Kuifundisha Timu ya Taifa ya Rwanda | KOCHA Mbrazil, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo ‘Robertinho’ ametangaza kutamani kupata nafasi ya kuifundisha timu ya taifa ya Rwanda, huku akieleza dhamira yake ya kulisaidia taifa hilo kufuzu kwa Kombe la Dunia. Robertinho Aomba Nafasi ya Kuifundisha Timu ya Taifa ya Rwanda Robertinho ni […]
Salah Aendelea Kung’ara/Salah Aendeleza Ubabe, Liverpool Yaichapa Wolves 2-1 | Mohamed Salah alibaki tegemeo la Liverpool baada ya kufunga bao lake la 23 msimu huu huku Wekundu hao wakitoka nyuma na kuwalaza Wolves 2-1 Uwanja wa Anfield. Ushindi huo uliwaweka imara kileleni mwa jedwali la Ligi Kuu. Salah Aendeleza Ubabe, Liverpool Yaichapa Wolves 2-1 Matokeo […]
Zamalek Yamtangaza José Peseiro Kuwa Kocha Mkuu Mpya | Klabu ya Zamalek SC ya Misri imetangaza rasmi kumteua Jose Peseiro kuwa kocha mpya wa timu hiyo akichukua nafasi ya Christian Gross. Zamalek Yamtangaza José Peseiro Kuwa Kocha Mkuu Mpya Kocha huyo raia wa Ureno amesaini mkataba wa miezi 18 na ni mara yake ya pili […]
Simba Yatinga Ruangwa Bila Balua, Mzamiru na Chamou Karabou | Simba SC imeondoka jijini Dar es Salaam kwenda Ruangwa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC, lakini baadhi ya wachezaji muhimu hawajasafiri na timu. Simba Yatinga Ruangwa Bila Balua, Mzamiru na Chamou Karabou Wachezaji walioachwa Dar es Salaam […]
Kikosi cha Simba Kuelekea Ruangwa kwa Mchezo Dhidi ya Namungo | Dar es Salaam, Tanzania – Klabu ya Simba SC inatarajiwa kuondoka jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, kuelekea Ruangwa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo FC. Kikosi cha Simba Kuelekea Ruangwa kwa Mchezo Dhidi ya Namungo Mechi […]
Ratiba ya Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024-2025 | Kombe la Shirikisho 2024/2025: Baada ya kumaliza msimu wa 2023/2024 kwa matokeo mabaya ambayo yamewanyima tiketi ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika, safari ya Simba SC katika Kombe la Shirikisho Afrika imetangazwa rasmi. CAF imetangaza ratiba ya michuano ya Kombe la Shirikisho 2024/25, na Simba SC […]
Prince Dube Rekodi ya Mabao Katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania | Prince Dube, mshambuliaji mahiri wa Zimbabwe , ameendelea kung’ara kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania
tangu ajiunge na Azam FC. Katika misimu yake kadhaa nchini Tanzania, Dube ameonyesha uwezo mkubwa wa kufunga mabao, licha ya kukabiliwa na matatizo ya majeraha. Prince Dube […]