Azam Kuwakabili Mashujaa Leo Katika Ligi Kuu NBC | Azam FC inajiandaa kumenyana na Mashujaa FC katika muendelezo wa mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa kesho Jumamosi saa 13:00 jioni kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi. Azam Kuwakabili Mashujaa Leo Katika Ligi Kuu NBC Itakuwa ni fursa nyingine kwa Azam FC kusaka ushindi dhidi […]
Mahakama Yatoa Wito kwa Wachezaji wa Singida BS Kuhusu Kesi ya Uraia | Mahakama kuu kanda ya Dodoma chini ya uongozi wa Jaji Evaristo Longopa imesikiliza kesi inayohusu uraia wa wachezaji wa klabu ya Singida Black Stars leo tarehe 14 Februari 2025. Mahakama Yatoa Wito kwa Wachezaji wa Singida BS Kuhusu Kesi ya Uraia Hata […]
FAHAMU Vyeo vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Na Majukumu Yake. FAHAMU Vyeo vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Asili ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa rasmi mnamo Septemba 1964, likichukua nafasi ya Tanganyika Rifles, jeshi lililoachwa na utawala wa kikoloni wa Waingereza. JWTZ liliundwa […]
Aziz Ki Aandika Hat-Trick, Yanga Yaichapa KMC FC 6-1 | Kiungo wa Yanga SC, Stephane Aziz Ki amethibitisha ubora wake kwa kufunga hat-trick katika ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya KMC FC Uwanja wa KMC Complex. Hii ni hat-trick yake ya pili msimu wa 2024/25, na ya pili kwa Yanga SC msimu huu, baada ya […]
Yanga Yajikita Kileleni Baada ya Kuichapa KMC 6-1 | Hatua hiyo ilihitimishwa kwenye Uwanja wa KMC Complex ambapo Klabu ya Yanga SC imeendelea na Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya wenyeji KMC FC. Ushindi huo unaifanya Wananchi kufikisha pointi 49 baada ya kucheza mechi 19, wakiongoza msimamo […]
Kamati ya Maadili ya TFF na Ligi Yawaita Ali Kamwe na Hamisi Mazanza | Kamati ya Uongozi ya Ligi inawapeleka Ali Kamwe na Hamisi Mazanza kwenye Kamati ya Maadili ya TFF. Kamati ya Maadili ya TFF na Ligi Yawaita Ali Kamwe na Hamisi Mazanza KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Shirikisho la Mpira […]
Ismail Mgunda Ajiunga na AS Vita Club ya DR Congo | Ismail Mohamed Mgunda amejiunga na AS Vita Club akitokea Mashujaa FC Kigoma. Ismail Mgunda Ajiunga na AS Vita Club ya DR Congo MSHAMBULIAJI Mtanzania Ismail Mohamed Mgunda amejiunga rasmi na klabu ya AS Vita Club inayoshiriki Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo […]
Kocha wa KMC Kali Ongala Asema Timu Yake Iko Tayari Dhidi ya Yanga | Kocha Mkuu wa KMC FC Kali Ongala amesema kikosi chake kimejipanga vyema kwa ajili ya mechi kali dhidi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC itakayochezwa kesho Februari 14, 2025 kwenye Uwanja wa KMC kuanzia saa 10:00 jioni. […]
Arne Slot Afungiwa Mechi Mbili Baada ya Kadi Nyekundu | Meneja wa Liverpool Arne Slot amefungiwa mechi mbili kufuatia kadi nyekundu aliyopewa na mwamuzi Michael Oliver katika mchezo wa Merseyside derby wa 2-2 dhidi ya Everton. Arne Slot Afungiwa Mechi Mbili Baada ya Kadi Nyekundu Tukio hilo lilitokea baada ya Abdoulaye Doucoure kusherehekea bao lake […]
Kai Havertz Kukosa Msimu Ulio Salia Baada ya Kuumia Paja Kai Havertz Kukosa Msimu Ulio Salia Baada ya Kuumia Paja | Arsenal imepata pigo kubwa baada ya mshambuliaji Kai Havertz kuumia msuli wa paja alipokuwa mazoezini Dubai. Jeraha hilo lina maana kwamba mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 atakosa sehemu iliyosalia ya msimu wa […]