Prince Dube Rekodi ya Mabao Katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania
Prince Dube Rekodi ya Mabao Katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania | Prince Dube, mshambuliaji mahiri wa Zimbabwe πΏπΌ, ameendelea kung’ara kwenye Ligi Kuu ya NBC Tanzania πΉπΏ tangu ajiunge na Azam FC. Katika misimu yake kadhaa nchini Tanzania, Dube ameonyesha uwezo mkubwa wa kufunga mabao, licha ya kukabiliwa na matatizo ya majeraha.
Prince Dube Rekodi ya Mabao Katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania
Mabao ya Prince Dube Katika Ligi Kuu ya NBC
Hapa chini ni takwimu za mabao aliyofunga katika kila msimu wa ligi kuu:

Prince Dube Rekodi ya Mabao Katika Ligi Kuu ya NBC Tanzania
- 2020/21 β β½ 14 Mabao
- 2021/22 β β½ 1 Bao (Alipata majeraha)
- 2022/23 β β½ 12 Mabao
- 2023/24 β β½ 7 Mabao (Nusu msimu)
- 2024/25 β β½ 8 Mabao (Mpaka sasa)
Kwa jumla, Dube amefunga mabao 34 katika mechi 54 alizocheza Azam FC. Ukijumlisha na mabao mengine aliyofunga, sasa amefunga mabao 42 tangu aanze kucheza Ligi Kuu ya NBC Tanzania.
Prince Dube atafunga magoli mangapi msimu wa 2024/25? Kwa kiwango chake cha sasa, Azam FC na mashabiki wa soka wa Tanzania watakuwa na matumaini kuwa Dube ataendelea kufunga mabao mengi zaidi msimu huu. Iwapo ataepuka majeraha na kudumisha ubora wake, kuna uwezekano mkubwa wa kuwania kiatu cha dhahabu.
Prince Dube ameonekana kuwa mmoja wa washambuliaji bora katika historia ya ligi kuu ya NBC Tanzania. Ikiwa ataendelea kucheza kwa kiwango cha juu, ataweza kufikia rekodi za juu zaidi kwenye ligi.
Pendekezo La Mhariri: