Pyramids Yapigwa Faini kwa Kadi 6 Dhidi ya Al Ahly
Pyramids Yapigwa Faini kwa Kadi 6 Dhidi ya Al Ahly | Faini ya Pauni 50,000
Pyramids Yapigwa Faini kwa Kadi 6 Dhidi ya Al Ahly
Pyramids FC imepata pigo baada ya kutozwa faini ya pauni 50,000 za Misri kwa utovu wa nidhamu wakati wa sare ya 2-2 na Al Ahly. Adhabu hiyo imekuja baada ya timu hiyo kupata jumla ya kadi 6 katika mchezo huo zikiwemo:
5 kadi za njano
1 kadi nyekundu
Utovu huo wa nidhamu umeiweka Pyramids FC katika wakati mgumu, ikikabiliwa na ukosoaji kutoka kwa mashabiki na viongozi wa ligi.
Pendekezo La Mhariri: