Ratiba Dabi ya Kariakoo na Mechi Kubwa za Ligi Kuu Tanzania

Filed in Michezo Bongo by on January 21, 2025 0 Comments

Ratiba Dabi ya Kariakoo na Mechi Kubwa za Ligi Kuu Tanzania | Ratiba ya Yanga na Simba na Azam kwenye NBC Mzunguko wa Pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Ratiba Dabi ya Kariakoo na Mechi Kubwa za Ligi Kuu Tanzania

Mashabiki wa soka nchini Tanzania watapata fursa ya kushuhudia mechi za kusisimua msimu wa 2024/25 za Ligi Kuu ya NBC, ambapo Kariakoo Derby kati ya Young Africans SC (Yanga) na Simba SC itachezwa Machi 8, 2025, Uwanja wa Benjamin. Uwanja wa Mkapa. Hii ni mechi inayosubiriwa kwa hamu, ambapo Simba SC itataka kulipa kisasi cha kufungwa 1-0 na Yanga katika mzunguko wa kwanza.

Ratiba Dabi ya Kariakoo na Mechi Kubwa za Ligi Kuu Tanzania

Ratiba Dabi ya Kariakoo na Mechi Kubwa za Ligi Kuu Tanzania

Vilevile, Simba SC itamenyana na Azam FC katika mchezo wa Mzizima derby Februari 24, 2025, wakati Young Africans SC (Yanga) itamenyana na Azam FC Aprili 10, 2025, kwenye mchezo wa Dar es Salaam.

Mechi hizi zitakuwa na mvuto mkubwa na zinatarajiwa kutoa burudani ya kipekee kwa mashabiki wa soka nchini Tanzania.

Ratiba ya Mechi za Leo Jumanne – Januari 21, 2025
Bodi ya Ligi Kuu Yapanga Ratiba ya Maboresho 2024/25
Simba Yafuzu Robo Fainali ya CAF Kombe la Shirikisho Afrika
Chelsea Yashindi Dhidi ya Wolves, Kurudi Nafasi ya Nne Ligi Kuu England
Robo Fainali Kombe la Shirikisho CAF, Timu Zipi Kufuzu Jumapili Hii
Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika Itakamilika Wikendi hii

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *