Ratiba ya Mechi za Tanzania AFCON 2025 Nchini Morocco
Ratiba ya Mechi za Tanzania AFCON 2025 Nchini Morocco | Ratiba ya mechi za Tanzania (Taifa Stars) katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 imewekwa wazi, ambapo timu ya Taifa itakutana na baadhi ya timu kubwa barani Afrika, ikiwa ni sehemu ya michuano ya kihistoria itakayofanyika nchini Morocco.
Ratiba ya Mechi za Tanzania AFCON 2025 Nchini Morocco
Ratiba ya Mechi za Tanzania (AFCON 2025):
- Nigeria π³π¬ vs Tanzania πΉπΏ
- ποΈ Disemba 23, 2025
- ποΈ Fez Stadium
- Uganda πΊπ¬ vs Tanzania πΉπΏ
- ποΈ Disemba 27, 2025
- ποΈ Al Barid Stadium
- Tanzania πΉπΏ vs Tunisia πΉπ³
- ποΈ Disemba 30, 2025
- ποΈ Prince Moulay Stadium
Tanzania itacheza katika Kundi C, ambalo ni gumu, pamoja na timu za Nigeria, Tunisia, na Uganda. Mechi hizi zitakuwa na mvuto mkubwa, huku mashabiki wakiwa na matumaini makubwa kwa Taifa Stars kufanya vyema kwenye michuano hii.
Matokeo ya Mechi za Mwisho za Tanzania dhidi ya Timu za Kundi C:
- 2023: Tanzania πΉπΏ 0-1 Uganda πΊπ¬
- 2020: Tanzania πΉπΏ 1-1 Tunisia πΉπ³
- 2016: Nigeria π³π¬ 1-0 Tanzania πΉπΏ
Mechi hizi za zamani zinatoa picha ya ushindani kati ya Tanzania na mataifa haya, huku mechi dhidi ya Uganda ikionesha kuwa ni changamoto kubwa kutokana na ushindani wa kihistoria kati ya mataifa haya mawili.
Pendekezo La Mhariri: