Ratiba ya Mechi za UEFA Playoff, Real Madrid vs Man City

Filed in Michezo Mambele by on January 31, 2025 0 Comments

Ratiba ya Mechi za UEFA Playoff, Real Madrid vs Man City | Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) limetangaza rasmi ratiba ya mchujo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, ambapo mashabiki wa soka watarajie burudani ya hali ya juu kutokana na mechi kali zitakazochezwa.

Macho ya wengi yatakuwa kwa Real Madrid dhidi ya Manchester City, mechi ambayo inarudisha kumbukumbu za pambano lao la kusisimua la misimu ya hivi karibuni. Mabingwa wa sasa, Manchester City, watajaribu kushindana na Real Madrid, timu yenye rekodi bora zaidi katika historia ya Ligi ya Mabingwa.

Ratiba ya Mechi za UEFA Playoff, Real Madrid vs Man City

Ratiba kamili ya hatua ya Playoff ni kama ifuatavyo:

Ratiba ya Mechi za UEFA Playoff, Real Madrid vs Man City

Ratiba ya Mechi za UEFA Playoff, Real Madrid vs Man City

🔹 Real Madrid 🇪🇸 vs Manchester City 🏴
🔹 Borussia Dortmund 🇩🇪 vs Sporting Lisbon 🇵🇹
🔹 Atalanta BC 🇮🇹 vs Club Brugge 🇧🇪
🔹 AC Milan 🇮🇹 vs Feyenoord 🇳🇱
🔹 SL Benfica 🇵🇹 vs AS Monaco 🇫🇷
🔹 PSV Eindhoven 🇳🇱 vs Juventus FC 🇮🇹
🔹 Bayern Munich 🇩🇪 vs Celtic FC 🏴
🔹 Paris Saint Germain 🇫🇷 vs Stade Brest 🇫🇷

Mechi hizi zinatarajiwa kuwa na ushindani mkali, huku vilabu vikubwa kama Bayern Munich, PSG, Juventus, AC Milan na Benfica vikijaribu kutafuta nafasi katika hatua inayofuata ya mashindano haya makubwa barani Ulaya.

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *