Ratiba ya Mechi za Wiki ya 18 Ligi Kuu NBC 2024/25
Ratiba ya Mechi za Wiki ya 18 Ligi Kuu NBC 2024/25 | Ratiba ya Wiki ya 18 ya Ligi Kuu ya NBC 2024/25 inaonyesha mechi mbalimbali zitakazochezwa kati ya Februari 9 na 11, 2025, kwenye viwanja tofauti nchini Tanzania.
Ratiba ya Mechi za Wiki ya 18 Ligi Kuu NBC 2024/25

Ratiba ya Mechi za Wiki ya 18 Ligi Kuu NBC 2024/25
Ratiba kamili ni kama ifuatavyo:
- Pamba Jiji vs Azam FC
Tarehe: Februari 9, 2025
Saa: 16:00
Uwanja: CCM Kirumba – Mwanza - Namungo FC vs Dodoma Jiji
Tarehe: Februari 9, 2025
Saa: 19:00
Uwanja: Majaliwa Stadium – Lindi - Kengold FC vs Fountain Gate
Tarehe: Februari 10, 2025
Saa: 14:00
Uwanja: Sokoine Stadium – Mbeya - KMC FC vs Singida BS
Tarehe: Februari 10, 2025
Saa: 16:15
Uwanja: KMC Complex – Dar es Salaam - JKT Tanzania vs Young Africans (Yanga SC)
Tarehe: Februari 10, 2025
Saa: 16:15
Uwanja: Meja Jenerali Isamuhyo – Dar es Salaam - Mashujaa FC vs Coastal Union
Tarehe: Februari 11, 2025
Saa: 16:00
Uwanja: Lake Tanganyika – Kigoma - Simba SC vs Tanzania Prisons
Tarehe: Februari 11, 2025
Saa: 16:00
Uwanja: KMC Complex – Dar es Salaam - Kagera Sugar vs Tabora United
Tarehe: Februari 11, 2025
Saa: 19:00
Uwanja: Kaitaba Stadium – Kagera
Pendekezo la Mhariri: