Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025

Filed in Michezo Bongo by on February 17, 2025 0 Comments

Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025 Kombe la Shirikisho la CRDB Tanzania Bara. Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa ratiba rasmi ya raundi ya nne ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara (CRDB federation cup).

Mechi hizi zitachezwa kuanzia tarehe 2 Machi 2025 hadi 12 Machi 2025, huku mashabiki wakitarajia burudani kali kutoka kwa timu zinazowania ubingwa na nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi.

Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025

Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025

Ratiba ya Raundi ya Nne ya CRDB Federation Cup 2025

Mechi za 2 Machi 2025

πŸ”Ή Cosmopolitan FC vs KMC FC – Dar es Salaam
πŸ”Ή Tanzania Prisons vs Bigman FC – Mbeya
πŸ”Ή Kagera Sugar vs Namungo FC – Kagera
πŸ”Ή Kiluvya FC vs Pamba Jiji – Dar es Salaam
πŸ”Ή Mashujaa FC vs Geita Gold – Kigoma
πŸ”Ή Azam FC vs Mbeya City – Dar es Salaam
πŸ”Ή Singida BS vs Leo Tena FC – Singida
πŸ”Ή Fountain Gate vs Stand United – Manyara

Mechi za 3 Machi 2025

πŸ”Ή Mbeya Kwanza vs Mambali Ushirikiano – Mtwara
πŸ”Ή Polisi Tanzania vs Songea United – K’njaro
πŸ”Ή Mtibwa Sugar vs Town Stars – Morogoro
πŸ”Ή Giraffe Academy vs Green Warriors – Katavi
πŸ”Ή JKT Tanzania vs Biashara United – Dar es Salaam
πŸ”Ή Tabora United vs Transit Camp – Tabora

Mechi za 11-12 Machi 2025

πŸ”Ή Simba SC vs TMA Stars – 11 Machi, Dar es Salaam
πŸ”Ή Young Africans (Yanga SC) vs Coastal Union – 12 Machi, Dar es Salaam

Pendekezo La Mhariri:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *