Ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/25
Ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/25 | Vita vikali kufikia ubingwa. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza ratiba rasmi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/25. Timu nane bora zimefuzu hatua hii baada ya kuchuana vikali katika hatua ya makundi, na sasa zinajiandaa na changamoto kubwa kuelekea michuano ya Afrika.
Ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/25
Ratiba ya robo fainali
π Al Ahly πͺπ¬ vs AL Hilal SC πΈπ©
π Pyramids FC πͺπ¬ vs AS FAR π²π¦
π Mamelodi Sundowns πΏπ¦ vs ES Tunis πΉπ³
π MC Alger π©πΏ vs Orlando Pirates πΏπ¦

Ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/25
Hatua ya nusu fainali
Timu zitakazoshinda hatua ya robo fainali zitakutana katika hatua ya nusu fainali ambapo mshindi kati ya Al Ahly na Al Hilal SC atamenyana na mshindi kati ya Pyramids FC na AS FAR.
Kadhalika, mshindi wa mechi kati ya Mamelodi Sundowns na ES Tunis atamenyana na mshindi wa MC Alger dhidi ya Orlando Pirates.

Ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika 2024/25
RATIBA YA NUSU FAINALI
β MC Alger π©πΏ v Orlando Pirates πΏπ¦ / Pyramids FC πͺπ¬ v AS FAR π²π¦
β Al Ahly πͺπ¬ v AL Hilal SC πΈπ© / MC Alger π©πΏ v Orlando Pirates πΏπ¦
Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika
Washindi wa nusu fainali hiyo watakutana katika fainali kuu ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2024/25, ambapo timu moja itaibuka mabingwa wa Afrika na kujihakikishia nafasi ya kucheza Kombe la Dunia la Klabu.
Mashabiki wa soka barani Afrika wanatarajia mechi kali na ushindani wa hali ya juu katika hatua hii. Je, Al Ahly itaendelea kutawala Afrika au tutashuhudia bingwa mpya? π₯πβ½
Pendekezo La Mhariri: